Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,177
Reaction score
4,887
Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo

Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi

Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi Transistor inavyofanya kazi lakini hawajatuandikia ni jinsi gani tunaweza kuzalisha Transistor Kwa wingi
Yanii maana yake ni kwamba tujifunze jinsi Transistor inavyofanya kazi Kisha tuende kwao tukanunue hizo Transistor tufunge katika vifaa vyetu pia walivyo tuuzia wao

Tukiendelea kuwa na huu mfumo tutakuwa watumwa wao milele na hilo wao ndio lengo lao

Ni Bora na sisi tutafute mfumo ambao Baada ya muda fulani tutakuwa sio tegemezi Kwa mtu yoyote

Ile shule ya watoto iliyolipuliwa na mrekani na mshirika wake Israel na kuua vile vitoto inasemekana Ile Ile shule ya sayansi na wanasayansi wote mashuhuri wa Irani wametoka pale

Sisi hapa Tanzania mtoto anajaziwa masomo kibao zaidi ya 12 humo humo utakuta masomo ya Sayansi, biashara na arts Yani huyu mtoto anakuwa kama anabet

Kumbe kulikuwa na uwezekano mtoto anayependa kuwa dakitali akaanza kusoma huo udakitali tokea akiwa chekechea na lazima akihitimu masomo ya udakitali atakuwa doctor mzuri vivyo hivyo Kwa fani zingine

Kwa Sasa mtanzania aliyesoma na asiyesoma hawana tofauti maana wote ajira zao ni bodaboda
 
Hapa kwenye Elimu tumekwama mkuu,hatuna namna,wanaofaidika na mfumo huu wa elimu wanautetea na hawatokuelewa kabisa!
Kuna muda huwa najiuliza hivi ni kweli sirikali ina nia njema na watu wake!!!?
Ukitaka ucheke fuatilia utekelezaji wa Mtaala mpya mashuleni,utacheka sana😬😬

#HAKUNA MAWASILIANO KATI YA WATUNGA SERA NA WATEKELEZAJI WA SERA.
 
Hahah,

Watanzania mnapenda kulaumu wazungu kwa matatizo yenu.

Elimu ya sasa hivi ni Universal every where, ukitaka kutengeneza transistor google hapo unaoata vitabu na videos za kila aina kuanzia wazungu mpaka wahindi.

Ila tunajua ukweli, watanzania mu wavivu kusoma na kufikiri, Mbaya zaidi kuwekeza kwenye long term projects ndo hamutaki kabisa, ndio maana wafanya biashara wengi wa nchi hii ni wachuuzi.
 
Kweli
 
Akili ndogo ni akili ndogo Tu hata upewe Elimu ya mtaala wa mbinguni, kule Iran vyuo vya sayansi vimelipuliwa balaa lakini watu bado wanasoma hivyo hivyo na hivyo vyuo baada ya miaka miwili vitajengwa upya....Sisi hatuna vikwazo wala nini lakini ufahamu mdogo Tu tumeshindwa kutumia, juzi nilipita Kwenye Jimbo la mbunge mmoja maarufu nikaishia kutukana Tu, Jimbo halina kitu zaidi ya vibanda viwili vya chipsi.
 
Hapa kwenye Elimu tumekwama mkuu,hatuna namna,wanaofaidika na mfumo huu wa elimu wanautetea na hawatokuelewa kabisa!
Kuna muda huwa najiuliza hivi ni kweli sirikali ina nia njema na watu wake!!!?
Ukitaka ucheke fuatilia utekelezaji wa Mtaala mpya mashuleni,utacheka sana😬😬

#HA
VERY TRUE
KUNA MAWASILIANO KATI YA WATUNGA SERA NA WATEKELEZAJI W
 
Akili ndogo ni akili ndogo Tu hata upewe Elimu ya mtaala wa mbinguni, kule Iran vyuo vya sayansi vimelipuliwa balaa lakini watu bado wanasoma hivyo hivyo na hivyo vyuo baada ya miaka miwili vitajengwa upya....Sisi hatuna vikwazo wala nini lakini ufahamu mdogo Tu tumeshindwa kutumia, juzi nilipita Kwenye Jimbo la mbunge mmoja maarufu nikaishia kutukana Tu, Jimbo halina kitu zaidi ya vibanda vii\

Mimi ukinipa hii nchi , suala la elimu litafika . Nina mbinu zangu hata baadhi ya madogo nawaambia .. Kwanza kabisa , nitawafanya wanafunzi wasom uzalendo tangu awali ili wasiwe watumwa.

Ukitoa watu kwenye utuma basi , umeshawini kweupe .
 
Akili ndogo ni akili ndogo Tu hata upewe Elimu ya mtaala wa mbinguni, kule Iran vyuo vya sayansi vimelipuliwa balaa lakini watu bado wanasoma hivyo hivyo na hivyo vyuo baada ya miaka miwili vitajengwa upya....Sisi hatuna vikwazo wala nini lakini ufahamu mdogo Tu tumeshindwa kutumia, juzi nilipita Kwenye Jimbo la mbunge mmoja maarufu nikaishia kutukana Tu, Jimbo halina kitu zaidi ya vibanda viwili vya chipsi.
Halafu utasikia Mama hana Deni na Jimboni.Bi Mkubwa tunamlaumu bure tu😀😀😀
 
Mimi ukinipa hii nchi , suala la elimu litafika . Nina mbinu zangu hata baadhi ya madogo nawaambia .. Kwanza kabisa , nitawafanya wanafunzi wasom uzalendo tangu awali ili wasiwe watumwa.

Ukitoa watu kwenye utuma basi , umeshawini kweupe .
Hii nayo ni kweli mathalani Wairani ni watu wanaojikubali na kujivunia historia Yao Sana, hata mataifa yote yaliyoendelea mfano Japan,China,Ulaya hawa Jamaa wako very proud na historia zao.
 
😀 😀 😀 😀 😀 Kwa akili gani walizonazo Gen Z wa bongo mpaka kuiga mfumo wa elimu wa iran?? Hizi hizi akili za kupenda umbea wa kina Zuchu na Kajala au kuna zingine.
Matatizo yenu mnawasingizia wazungu na elimu yenu, badilisheni katiba, uongozi waingie damu mpya kue na mabadiliko toka juu ndio mafanikio ya nchi yoyote hutokea. Mkiendelea na li CCM mtalaumu kila kitu .
 
Protocol ya ufundishiaji ya tanzania ni sawa na hamna kitu, tunamuandaa mwanafunzi kujua kusoma na kuandika

Ndio maana jobless tumejazana mtaani..

Waliopitisha huu mfumo wa ufundushiaji sijui waliuzindika na nini? Mpaka unashindwa kubadilishika

Wenye uwezo wanawatoa watoto wao wanaenda kuwapeleka wakasome nje za nchi
 
Hii nayo ni kweli mathalani Wairani ni watu wanaojikubali na kujivunia historia Yao Sana, hata mataifa yote yaliyoendelea mfano Japan,China,Ulaya hawa Jamaa wako very proud na historia zao.
Unajua china kwao rushwa ni kama dhambi , yaani inajulikana taifa zima kama dhambi na ukidakwa kwenye rushwa hukumu yake haina huruma ..Mifumo ya kibepari ni utapeli mtupu .
 
Wnawaandaa watu kuja kuwa mabodaboda.. haibu ilioje

Back
Top Bottom