Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
- Thread starter
- #61
Katika watu walioathirika na mfumo mbovu wa elimu ya Tanzania na wewe ni Mmoja wapo si ajabu wewe degree holder lakini Mawazo yako hayana tofauti na aliyoishia darasa la sabaKwa hiyo ukosefu wa ajira una husiano vipi na elimu???
Sijui hii nadharia watu wanaitoa wapi,Elimu ya Tanzania haijawahi kuwa tatizo-mitaalaa ya elimu Tanzania ni copy & paste kutoka huko kwa hao hao wazungu nothing new.
Ukosefu wa ajira unatokana na mifumo mibovu ya kiuongozi wa nchi na sera mbovu za kiuchumi.Huwezi ukawa na ajira kwenye nchi ambayo haina viwanda na zaidi ya 90% ya bidhaa na huduma inaagiza nje.
Nchi zote ambazo kiwango cha ajira kipo juu ni nchi zinazozalisha kwa wingi,nchi ambayo inaagiza kila kitu inawezaje kuwapa watu wake ajira???
Unasema mfumo wa elimu wa Tanzania Hauna tatizo wakati Kila siku mitala ya elimu inabadirishwa mitala uliyosoma wewe sio anayosoma mwanao Leo kama yupo darasa la Kwanza au la pili Sasa unasemaje Haina tatizo maana yake wewe ni kilaza Yani hauoni kile ambacho wenzako wanakiona
Unasema hatuna ajira Kwa sababu hatuzalishi hao wahitimu wa elimu wazalishe nini wakati wamekaa darasani zaidi ya miaka 16 hiyo elimu ya uzalishaji bidhaa hawajafundishwa?
Bro wewe ni kilaza na sio kosa lako shida ndio hiyo elimu ya Wazungu uliyomezeshwa
China Kila mtu ni mzalishaji Kuna viwanda Hadi vichochoroni hiyo creativity waliyonayo walipewa darasani ndio maana wanazalisha