Kuhusu masomo kibao ni kweli ni upumbavu uliodhaili kabisa ..masomo mengi yalitakiwa kuwa introduction tu yaani wanafunzi waya some basic tu mfano histori ya dunia na ya nchi iweni basic tu ..geography iwe basic tu ...Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo
Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi
Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi Transistor inavyofanya kazi lakini hawajatuandikia ni jinsi gani tunaweza kuzalisha Transistor Kwa wingi
Yanii maana yake ni kwamba tujifunze jinsi Transistor inavyofanya kazi Kisha tuende kwao tukanunue hizo Transistor tufunge katika vifaa vyetu pia walivyo tuuzia wao
Tukiendelea kuwa na huu mfumo tutakuwa watumwa wao milele na hilo wao ndio lengo lao
Ni Bora na sisi tutafute mfumo ambao Baada ya muda fulani tutakuwa sio tegemezi Kwa mtu yoyote
Ile shule ya watoto iliyolipuliwa na mrekani na mshirika wake Israel na kuua vile vitoto inasemekana Ile Ile shule ya sayansi na wanasayansi wote mashuhuri wa Irani wametoka pale
Sisi hapa Tanzania mtoto anajaziwa masomo kibao zaidi ya 12 humo humo utakuta masomo ya Sayansi, biashara na arts Yani huyu mtoto anakuwa kama anabet
Kumbe kulikuwa na uwezekano mtoto anayependa kuwa dakitali akaanza kusoma huo udakitali tokea akiwa chekechea na lazima akihitimu masomo ya udakitali atakuwa doctor mzuri vivyo hivyo Kwa fani zingine
Kwa Sasa mtanzania aliyesoma na asiyesoma hawana tofauti maana wote ajira zao ni bodaboda
Elimu ina shida ila tatizo kuu hata siyo Elimu ni mfumo wa uongozi na kisiasa elimu tunaisingiziaKihusu
Kuhusu masomo kibao ni kweli ni upumbavu uliodhaili kabisa ..masomo mengi yalitakiwa kuwa introduction tu yaani wanafunzi waya some basic tu mfano histori ya dunia na ya nchi iweni basic tu ..geography iwe basic tu ...
SOMO KUU LA MSINGI LINATAKIWA KUWA NI MATHEMATICS hivyo mwanafunzi asiruhusiwe kwenda elimu ya juu bila ya kufaulu MATHEMATICS hata kigezo cha kupata ajila serikalini kiwe ni mathematics
Elimu nayo ni sababu ya kupata viongozi wapumbavuElimu ina shida ila tatizo kuu hata siyo Elimu ni mfumo wa uongozi na kisiasa elimu tunaisingizia
Mfano tuna resources lukuki zinatusaidiaje kama Taifa na mtu akila kidogo chetu anawajibika adhabu yake ni nini watu kazi kuiba tu
Elimu yoyote haiwezi kutusaidia kama hatufanyi ya muhimu
Udaktari kuanzia chekechea sio wazo zuriMfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo
Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi
Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi Transistor inavyofanya kazi lakini hawajatuandikia ni jinsi gani tunaweza kuzalisha Transistor Kwa wingi
Yanii maana yake ni kwamba tujifunze jinsi Transistor inavyofanya kazi Kisha tuende kwao tukanunue hizo Transistor tufunge katika vifaa vyetu pia walivyo tuuzia wao
Tukiendelea kuwa na huu mfumo tutakuwa watumwa wao milele na hilo wao ndio lengo lao
Ni Bora na sisi tutafute mfumo ambao Baada ya muda fulani tutakuwa sio tegemezi Kwa mtu yoyote
Ile shule ya watoto iliyolipuliwa na mrekani na mshirika wake Israel na kuua vile vitoto inasemekana Ile Ile shule ya sayansi na wanasayansi wote mashuhuri wa Irani wametoka pale
Sisi hapa Tanzania mtoto anajaziwa masomo kibao zaidi ya 12 humo humo utakuta masomo ya Sayansi, biashara na arts Yani huyu mtoto anakuwa kama anabet
Kumbe kulikuwa na uwezekano mtoto anayependa kuwa dakitali akaanza kusoma huo udakitali tokea akiwa chekechea na lazima akihitimu masomo ya udakitali atakuwa doctor mzuri vivyo hivyo Kwa fani zingine
Kwa Sasa mtanzania aliyesoma na asiyesoma hawana tofauti maana wote ajira zao ni bodaboda
Mawazo ya bange haya , eti kigezo kiwe mathematics tu, mbusi wewe loose NutKihusu
Kuhusu masomo kibao ni kweli ni upumbavu uliodhaili kabisa ..masomo mengi yalitakiwa kuwa introduction tu yaani wanafunzi waya some basic tu mfano histori ya dunia na ya nchi iweni basic tu ..geography iwe basic tu ...
SOMO KUU LA MSINGI LINATAKIWA KUWA NI MATHEMATICS hivyo mwanafunzi asiruhusiwe kwenda elimu ya juu bila ya kufaulu MATHEMATICS hata kigezo cha kupata ajila serikalini kiwe ni mathematics
Poor infrastructure na Mindset za kukariri na kufauku mtihani ndio zinatesa Elimu ya Tz.Hahah,
Watanzania mnapenda kulaumu wazungu kwa matatizo yenu.
Elimu ya sasa hivi ni Universal every where, ukitaka kutengeneza transistor google hapo unaoata vitabu na videos za kila aina kuanzia wazungu mpaka wahindi.
Ila tunajua ukweli, watanzania mu wavivu kusoma na kufikiri, Mbaya zaidi kuwekeza kwenye long term projects ndo hamutaki kabisa, ndio maana wafanya biashara wengi wa nchi hii ni wachuuzi.
Kuna vitu vingi tu kipindi nasoma nilikuwa najiuliza vinasaidia nini hivi ?Describle the fall of Automotive industry in Japan.
Hapo mwanzo alihusika Kwa sababu alituletea elimu ili waendelee kututawalaNonsense, mzungu anahusika vipi na umasikini huu?
Hata wanaosoma nje ya nchi hawana tofautiProtocol ya ufundishiaji ya tanzania ni sawa na hamna kitu, tunamuandaa mwanafunzi kujua kusoma na kuandika
Ndio maana jobless tumejazana mtaani..
Waliopitisha huu mfumo wa ufundushiaji sijui waliuzindika na nini? Mpaka unashindwa kubadilishika
Wenye uwezo wanawatoa watoto wao wanaenda kuwapeleka wakasome nje za nchi
Akili ndogo ni akili ndogo Tu hata upewe Elimu ya mtaala wa mbinguni, kule Iran vyuo vya sayansi vimelipuliwa balaa lakini watu bado wanasoma hivyo hivyo na hivyo vyuo baada ya miaka miwili vitajengwa upya....Sisi hatuna vikwazo wala nini lakini ufahamu mdogo Tu tumeshindwa kutumia, juzi nilipita Kwenye Jimbo la mbunge mmoja maarufu nikaishia kutukana Tu, Jimbo halina kitu zaidi ya vibanda viwili vya chipsi.
Mimi ukinipa hii nchi , suala la elimu litafika . Nina mbinu zangu hata baadhi ya madogo nawaambia .. Kwanza kabisa , nitawafanya wanafunzi wasom uzalendo tangu awali ili wasiwe watumwa.
Ukitoa watu kwenye utuma basi , umeshawini kweupe .
Hii nayo ni kweli mathalani Wairani ni watu wanaojikubali na kujivunia historia Yao Sana, hata mataifa yote yaliyoendelea mfano Japan,China,Ulaya hawa Jamaa wako very proud na historia zao.
😀 😀 😀 😀 😀 Kwa akili gani walizonazo Gen Z wa bongo mpaka kuiga mfumo wa elimu wa iran?? Hizi hizi akili za kupenda umbea wa kina Zuchu na Kajala au kuna zingine.
Matatizo yenu mnawasingizia wazungu na elimu yenu, badilisheni katiba, uongozi waingie damu mpya kue na mabadiliko toka juu ndio mafanikio ya nchi yoyote hutokea. Mkiendelea na li CCM mtalaumu kila kitu .
Kihusu