Mention 4 Laboratory rules
What are impact of Mau mau war ?
Describe the steps of metal extraction
Draw well_labbed diagram of Maghayo
Don't enter in the laboratory without permission.Mention 4 Laboratory rules
Separation of families and deaths of local people.What are impact of Mau mau war ?
Tutafika tumechoka sana.Describe the steps of metal extraction
Draw well_labbed diagram of Maghayo
Handle Equipments With Care....Don't enter in the laboratory without permission.
Don't eat in the laboratory.
Separation of families and deaths of local people.
π€£π€£
Tutafika tumechoka sana.
KweliHahah,
Watanzania mnapenda kulaumu wazungu kwa matatizo yenu.
Elimu ya sasa hivi ni Universal every where, ukitaka kutengeneza transistor google hapo unaoata vitabu na videos za kila aina kuanzia wazungu mpaka wahindi.
Ila tunajua ukweli, watanzania mu wavivu kusoma na kufikiri, Mbaya zaidi kuwekeza kwenye long term projects ndo hamutaki kabisa, ndio maana wafanya biashara wengi wa nchi hii ni wachuuzi.
VERY TRUEHapa kwenye Elimu tumekwama mkuu,hatuna namna,wanaofaidika na mfumo huu wa elimu wanautetea na hawatokuelewa kabisa!
Kuna muda huwa najiuliza hivi ni kweli sirikali ina nia njema na watu wake!!!?
Ukitaka ucheke fuatilia utekelezaji wa Mtaala mpya mashuleni,utacheka sanaπ¬π¬
#HA
KUNA MAWASILIANO KATI YA WATUNGA SERA NA WATEKELEZAJI W
Akili ndogo ni akili ndogo Tu hata upewe Elimu ya mtaala wa mbinguni, kule Iran vyuo vya sayansi vimelipuliwa balaa lakini watu bado wanasoma hivyo hivyo na hivyo vyuo baada ya miaka miwili vitajengwa upya....Sisi hatuna vikwazo wala nini lakini ufahamu mdogo Tu tumeshindwa kutumia, juzi nilipita Kwenye Jimbo la mbunge mmoja maarufu nikaishia kutukana Tu, Jimbo halina kitu zaidi ya vibanda vii\
Halafu utasikia Mama hana Deni na Jimboni.Bi Mkubwa tunamlaumu bure tuπππAkili ndogo ni akili ndogo Tu hata upewe Elimu ya mtaala wa mbinguni, kule Iran vyuo vya sayansi vimelipuliwa balaa lakini watu bado wanasoma hivyo hivyo na hivyo vyuo baada ya miaka miwili vitajengwa upya....Sisi hatuna vikwazo wala nini lakini ufahamu mdogo Tu tumeshindwa kutumia, juzi nilipita Kwenye Jimbo la mbunge mmoja maarufu nikaishia kutukana Tu, Jimbo halina kitu zaidi ya vibanda viwili vya chipsi.
Hii nayo ni kweli mathalani Wairani ni watu wanaojikubali na kujivunia historia Yao Sana, hata mataifa yote yaliyoendelea mfano Japan,China,Ulaya hawa Jamaa wako very proud na historia zao.Mimi ukinipa hii nchi , suala la elimu litafika . Nina mbinu zangu hata baadhi ya madogo nawaambia .. Kwanza kabisa , nitawafanya wanafunzi wasom uzalendo tangu awali ili wasiwe watumwa.
Ukitoa watu kwenye utuma basi , umeshawini kweupe .
Unajua china kwao rushwa ni kama dhambi , yaani inajulikana taifa zima kama dhambi na ukidakwa kwenye rushwa hukumu yake haina huruma ..Mifumo ya kibepari ni utapeli mtupu .Hii nayo ni kweli mathalani Wairani ni watu wanaojikubali na kujivunia historia Yao Sana, hata mataifa yote yaliyoendelea mfano Japan,China,Ulaya hawa Jamaa wako very proud na historia zao.
Protocol ya ufundishiaji ya tanzania ni sawa na hamna kitu, tunamuandaa mwanafunzi kujua kusoma na kuandika
Ndio maana jobless tumejazana mtaani..
Waliopitisha huu mfumo wa ufundushiaji sijui waliuzindika na nini? Mpaka unashindwa kubadilishika
Wenye uwezo wanawatoa watoto wao wanaenda kuwapeleka wakasome nje za nchi