Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

Tukimaliza kuiga huo mfumo wa Irani tutarudi tena na Kulalamika hapa kuwa sio wa kwetu.
 
Kihusu
Kuhusu masomo kibao ni kweli ni upumbavu uliodhaili kabisa ..masomo mengi yalitakiwa kuwa introduction tu yaani wanafunzi waya some basic tu mfano histori ya dunia na ya nchi iweni basic tu ..geography iwe basic tu ...
SOMO KUU LA MSINGI LINATAKIWA KUWA NI MATHEMATICS hivyo mwanafunzi asiruhusiwe kwenda elimu ya juu bila ya kufaulu MATHEMATICS hata kigezo cha kupata ajila serikalini kiwe ni mathematics
 
Elimu ina shida ila tatizo kuu hata siyo Elimu ni mfumo wa uongozi na kisiasa elimu tunaisingizia
Mfano tuna resources lukuki zinatusaidiaje kama Taifa na mtu akila kidogo chetu anawajibika adhabu yake ni nini watu kazi kuiba tu
Elimu yoyote haiwezi kutusaidia kama hatufanyi ya muhimu
 
Elimu nayo ni sababu ya kupata viongozi wapumbavu
 
Udaktari kuanzia chekechea sio wazo zuri
Kwa wazazi wa Kibongo walivyo, kila mtoto ataenda kusomea udaktari kwa hali hiyo
Tuweke mfumo mzuri sawa, ila sio wa kuanza udaktari chekechea
 
Mawazo ya bange haya , eti kigezo kiwe mathematics tu, mbusi wewe loose Nut

Kuna wengine sio wataalamu wa mathematics ila wajuzi kwenye mambo mengine yenye Faida utqwaweka wapi ?
 
Poor infrastructure na Mindset za kukariri na kufauku mtihani ndio zinatesa Elimu ya Tz.

Hata Elimu hii ya mzungu tunayolalanika mbovu tungeitumia vizuri ipasavyo ingesaidia , nakupa mifano michache.

Mfano somo la Tehama liliazishwa Tz kipindi nipo darasa la 3 , somo zuri na lina Faida ila tulikuwa tunasoma kwa kukariri na tukawa hatuelewi sababu somo la practical unasoma kama theory na watoto tukio 500+ kompyuta 3 tu za kujifunzia hata tukiingia kompyuta room tunakuwa wapenzi watazamaji tu.

Advance kwa wale waliosoma Biology wanajua Kuna Kitabu kizuri kinaitwa BS (Biological science) kila Kitabu ni Cha Cambridge na kinatumika nchi nyingi tu kuhusu mambo ya biology njoo bongo zile practical session za kwenye Kitabu katika kila topic ili kujenga ulewa zaidi hazifanyiki kabisa na zinarukwa Kwa sababu hazitoki kwenye Necta .

Chuo hivyo hivyo Mimi kozi niliyosoma inahitajika vitendo zaidi lakini chuo wamekazana na maNotis tu kutukaririsha practical vifaa vingi vibovu , Wanafunzi wengi lakini mazingira bado duni kabisa.
 
Udini
Udini
Udini
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nonsense, mzungu anahusika vipi na umasikini huu?
 
Nonsense, mzungu anahusika vipi na umasikini huu?
Hapo mwanzo alihusika Kwa sababu alituletea elimu ili waendelee kututawala

Ila Kwa Sasa ni ujinga wetu kuendelea na elimu waliyotuletea wakati upo uwezekano wa kuunda mfumo mpya wa elimu utakao kuwa na faida kwetu Ili tuwe kama China , Kolea au Irani
 
Hata wanaosoma nje ya nchi hawana tofauti
 

Watakwambia wazungu wametuma elimu duni ili tuwe watumwa sijui nn, excuses tupu.

Yaani Elimu walioiacha miaka 61 ya uhuru huko mnaitumia hyo hyo, nyinyi hamuwezi kufikiri? Kwamba for 61yrs new developmenet hamjazingiza kwenye curriculum, ila kutwa kuwalaumu wazungu.

Masikini hua hasaidiki tu, ukimpa samaki atadai na Wali ๐Ÿšฎ
 
Mimi ukinipa hii nchi , suala la elimu litafika . Nina mbinu zangu hata baadhi ya madogo nawaambia .. Kwanza kabisa , nitawafanya wanafunzi wasom uzalendo tangu awali ili wasiwe watumwa.

Ukitoa watu kwenye utuma basi , umeshawini kweupe .

Mkuu anza na Familia yako kwanza unayo iweza, mbona kwenye nchi unaanzia mbali.
 
Hii nayo ni kweli mathalani Wairani ni watu wanaojikubali na kujivunia historia Yao Sana, hata mataifa yote yaliyoendelea mfano Japan,China,Ulaya hawa Jamaa wako very proud na historia zao.

Mm nawakubali kinoma kobaz wa IRAN, bora uwauwr lkn sio kuwatoa kwenye Iman na misimamo yao.

Sasa hapa viongozi kama hao, waliishia na akina nyerere.
 

Wamesahau kua hapa tuna International School of Tanganyika, Inayo fata mitaala ya Hao wazungu.

Graduates wao, kama watabaki hapa bongo Hakuna maajabu watafanya Over normal canditades.

Kwasababu System za watu weusi hazisupport innovations.

"Talents are equally distributed every where but opportunities are not"
 

Hii ni sahihi mkuu, Anae taka kujua Mfekane war in Deep aende University akasomee bachelor in Mfekane war

Ila sio mtoto wa secondary kumkaririsha mfekane war.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ