Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani


Safi kabisa mkuu, Hayo mambo yoote uliyo yaeleza, yanatatuliwa kwa sisi wenyewe na viongozi wetu kuchukua hatua.

Ila cha ajabu jamii inataka kuamini Elimu yetu ni mbovu, Kumbe Ufundishaji wetu ndo mbovu.

Kwa ufundishaji wetu, hata tukipewa mtaala wa USA, CHINA hakuta kua na matokeo hata kidogo maana tutawajaza theory tupu wa toto.

Na shida kubwa hapa ni budget, tunaweka budget kubwa kwenye mambo yasio ya msingi kama magari ya viongozi, safari na vikao, tunasahau Taifa la kesho.

Ila ki ukweli Wasomi wa TZ akili wanazo sana, They have just focused on the wrong direction.
 
Tuige mfumo wa China, Taiwan, Japan au South korea.
 
Kwamba watu wasiende shule wasome kwa youtube, na madaktari nao wajifunze upasuaji kwa chatgbt sio??
Watu mnachanganyikiwa
 
Mention 4 Laboratory rules
What are impact of Mau mau war ?
Describe the steps of metal extraction
Draw well_labbed diagram
Kwa sasa wamekuja na sela mpya inaitwa CBC(Student Based Curriculum)

Kwenye mention 4 labaratory rules watasema "Educate form one student on 4 rules of labaratory"

Hapo wanakwambia mtoto atakapohitimu atakuwa compitent ile mbaya. Na atagombaniwa na soko la ajira kama mpira wa kona
 
 
Kwamba watu wasiende shule wasome kwa youtube, na madaktari nao wajifunze upasuaji kwa chatgbt sio??
Watu mnachanganyikiwa

Soma uelewe mkuu,

Elimu ya sasa hvi haijafichwa popote, Ukitaka kupata lateat books, publications just google them and you have million of them kutoka kwa hao wazungu.

Ni sisi tu, tumeamua kuto kutafuta maarifa, Tusitafute excuses za kusingizia wazungu.
 
Ndo maana nikakuuliza, unaamini , hatuhitaji mfumo utakaobeba watu wote??Sisi tunaongelea basic standard za ujumla sio nguvu za mtu mmoja mmoja.Unaamini huko vijijini watu wana-access na hizo internet na papers unazosema.Mfumo mfumo
 
Hii ni sahihi mkuu, Anae taka kujua Mfekane war in Deep aende University akasomee bachelor in Mfekane war

Ila sio mtoto wa secondary kumkaririsha mfekane war.
Wazungu wenye elimu wanashindwa kujua mlima kilimanjaro upo wapi , ila sisi wabantu tunajifunza mpaka choo anacho nyea Trump kilipo. Unakuta swali ? Elezea choo cha kwanza cha kukaa kilijengwa ikulu gani ya USA?
 

sio watanzania tu mkuu, hilo ni tatizo la africa nzima
 
Usisahau kuwa kuna miaka zaidi ya 10 inambidi asome dini tu
 
Kwa hiyo ukosefu wa ajira una husiano vipi na elimu???
Sijui hii nadharia watu wanaitoa wapi,Elimu ya Tanzania haijawahi kuwa tatizo-mitaalaa ya elimu Tanzania ni copy & paste kutoka huko kwa hao hao wazungu nothing new.

Ukosefu wa ajira unatokana na mifumo mibovu ya kiuongozi wa nchi na sera mbovu za kiuchumi.Huwezi ukawa na ajira kwenye nchi ambayo haina viwanda na zaidi ya 90% ya bidhaa na huduma inaagiza nje.

Nchi zote ambazo kiwango cha ajira kipo juu ni nchi zinazozalisha kwa wingi,nchi ambayo inaagiza kila kitu inawezaje kuwapa watu wake ajira???
 
Ndo maana nikakuuliza, unaamini , hatuhitaji mfumo utakaobeba watu wote??Sisi tunaongelea basic standard za ujumla sio nguvu za mtu mmoja mmoja.Unaamini huko vijijini watu wana-access na hizo internet na papers unazosema.Mfumo mfumo
Hizo access hazibe provided na elimu ni political will mpaka Leo reason ya kutokuwa na Internet ni maamuzi ya watawala wetu
 
Usisahau kuwa kuna miaka zaidi ya 10 inambidi asome dini tu
Elimu hii hii wazungu wanasoma ukitoa sehemu ya practical oriented hamna utofouti mkubwa tatizo policy mbovu na self Discipline
Mfano kama huzalishi utaajiri vipi wasomi wote na hapo kuna mambo mengi muwekezaji akiwa mbongo anapitia
 
Mtaala mpya nakubali Kuna baadhi ya maboresho nimeyapenda , Mimi nilikuta ndio unaanza Anza na nikaona competency based ni competency based kwenye vitabu ya Tie vya advance hakukuwa na mambo ya kukariri ni kusoma na kuelewa tu.

Shida kama walimu watafundisha na kuendana na huo.mfumonkikamilifu ? na serikali kujipanga kimiundombinu
 
Kweli kabisa wa Tz sio wapuuzi kama wengi tunavyojichukulia , shuleni levo zote nilizosoma nimekutana na vijana wengi bright Wenye mawazo chanya na passion ya kupambana na kufika mbali ila Elimu yetu imechangia kuharibu future za vijana wengi
 

Unazalisha wataalamu wa Petroleum Engeneering, wakati huo huo unauza gas ya mtwara kwenda china, Hapa unaleta mitungi ya gas.

Sasa hawa wataalamu unataka wafanye nn yaaani exactly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…