Kwa hiyo ukosefu wa ajira una husiano vipi na elimu???
Sijui hii nadharia watu wanaitoa wapi,Elimu ya Tanzania haijawahi kuwa tatizo-mitaalaa ya elimu Tanzania ni copy & paste kutoka huko kwa hao hao wazungu nothing new.
Ukosefu wa ajira unatokana na mifumo mibovu ya kiuongozi wa nchi na sera mbovu za kiuchumi.Huwezi ukawa na ajira kwenye nchi ambayo haina viwanda na zaidi ya 90% ya bidhaa na huduma inaagiza nje.
Nchi zote ambazo kiwango cha ajira kipo juu ni nchi zinazozalisha kwa wingi,nchi ambayo inaagiza kila kitu inawezaje kuwapa watu wake ajira???