HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.
Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.
Kama watu wana taarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?