Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

IMG_6223.jpg
 
Sheria za nchi gani mkuu,utawala wa Sheria ulishakufa,nchi yenye utawala wa Sheria haiwezekani kuwe na bias kwenye mfumo wa sheria
Kama sheria za nchi hazipo kwanini mnajificha kwa ID feki jitokezeni ili kujua kama utawala wa sheria upo au haupo shida nini.
 
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.

Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.

Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Hizo Sheria zitumike Kwa wenzenu tu nyie mara ya mwisho kutumia Hizo Sheria ilikua ni lini?
 
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.

Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.

Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Wewe ni fala kama mafala wenzio.
 
Bora ya fb kuliko jf mmezidi ujinga na taarifa za uongo za kutunga kwa kujificha humu jf,ni swala la muda tu linakuja matusi,uchochezi,uongo,nk vitafikia mwisho
Kuwa mwana JF kunakutaka uwe critical thinker, yaani uwe na akili ya kugundua kama hoja na elements za uwongo ama lah.

We kama unataka vitu virahisi bila kuumiza akili kaunde mtandao wako ili members wawe wewe, mke na watoto wako.
 
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.

Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.

Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Ungekuwa na Akili hili ungelianza wewe hili tuone Profile yako Kuna picha yako na Majina yako Halisi!

JF kwani wamekuzuia wewe kutumia Jina lako halisi na Picha yako?
 
Unataka watu wawe wanakamatwa hovyoo
ukiwa chawa wa kundi la utekaji, ukamataj na unyanyasaji, wew pia mawazo yako yanakua ya kukamata watu ovyo, kuwateka na kuwaua, si ajabu ukawa unawaza na kubuni nin ufanye ili ukamate watu na kuwatesa. Lengo kusiwe na uhuru wa kuongea na kukosoa!
 
Bora ya fb kuliko jf mmezidi ujinga na taarifa za uongo za kutunga kwa kujificha humu jf,ni swala la muda tu linakuja matusi,uchochezi,uongo,nk vitafikia mwisho
Kwa nini bado upo jf? Ondoka nenda fb upate amani. Huku huwezi kumpabgia mtu, utaumia roho bure tu
 
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.

Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.

Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Umesoma mpaka darasa la ngapi wewe?
 
Hatimaye sasa BICHWA KOMWE anaenda kudakwa kwa makosa ya utovu wa adabu.

Asulubishwe!
 
Kwahiyo huko kwingine mnakotumia au kupeleka taarifa zenu na kujisajiri kwa ID halisi hakuna threats?

Shaka ya nini iwapo unachokisema kina ushahidi ambao jamii itausimamia na kukutete?

Huko kwenye mabenki,nhif,tra,google,nk mlikopeleka taarifa zenu sahihi hakuna hizo threats
Wapi kwengine ambapo nje ya nchi hii watu wanatumia nida kupata huduma?

Tell me?
 
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.

Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.

Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Kuna haja ya uvccm kupimwa matako kabla ya teuzi
 
Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Kwa utawala haramu wa sasa ushauri wako haufai. Au unashabikia utekaji na mauaji? Dunuani kote ipo hivyo, ndiyo sababu hata kule X, nk, hulazimiki kuweka iD halisi
 
NIN (NIDA) imeshindwa kudhibiti kwa 100% meseji za matapeli (tuma kwa namba hii)
 
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.

Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.

Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Majitu matako kama haya ni ya kuyapuuza. pumbavu wewe.
 
Subiri kwanza tukupinde mande, jini mweusi wewe kabla haujaanza kujisajili kwa Nida namba, pumbavu zako.
 
Back
Top Bottom