HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Miyandaoni ndio nini Wewe chawa? Huko UVCCM mnadanganyana sanamiyandaoni
Unajua a threat ya kuweka national id kwa mitandao ya kijamii?Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa jf kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.
Sasa dawa yao ni kupiga pini usajiri wa miyandaoni kwa kutumia ID feki hasa humu jf ili wajingawajinga wapatikane na kuadhibiwa sambamba na sheria za nchi.
Kama watu wanataarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?
Kazi huwa ni kupinga na kukosoa kila kitu hata typing error kwenu ni issue mnaibeba juujuu hamna mnachotafuta zaidi ya chokochoko mdundwe mlalamike kwa mabwana zenu wa nje,jitambueni!!Miyandaoni ndio nini Wewe chawa? Huko UVCCM mnadanganyana sana
Kwahiyo huko kwingine mnakotumia au kupeleka taarifa zenu na kujisajiri kwa ID halisi hakuna threats?Unajua a threat ya kuweka national id kwa mitandao ya kijamii?
Lazima uweshirikishe hao jamaa wamiliki wa social medias wote.
And hao jamaa watapata access ya social security numbers za wananchi wa nchi nzima
Think kabla hujaleta such thing
Wakileta huo ulazima nitaweka tu haina shidaWewe mbona hujaweka jina lako halisi?
Huwezi kutekwa bila chanzo au sababu iwapo uko sahihi na ukatekwa basi jamii itakusimamiaMbona bila mambo ya nida mnaweza kuwateka watu
Ungeanza kutoa mfano ili wengine wafuate. KmlyWakileta huo ulazima nitaweka tu haina shida
Kwani watu hawakamatwi ovyo?nenda polisi,uhamiaji,magereza,nk hakuna watu waliokamatwa ovyo?hamuwezi kulikwepa hili la kutoa taarifa sahihi ili kukomesha uhalifu ni swala la muda.Unataka watu wawe wanakamatwa hovyoo
Bora ya fb kuliko jf mmezidi ujinga na taarifa za uongo za kutunga kwa kujificha humu jf,ni swala la muda tu linakuja matusi,uchochezi,uongo,nk vitafikia mwishoUshauri wako ni batili mkuu. Nenda kaupeleke Fesibuku.