Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

Kazi huwa ni kupinga na kukosoa kila kitu hata typing error kwenu ni issue mnaibeba juujuu hamna mnachotafuta zaidi ya chokochoko mdundwe mlalamike kwa mabwana zenu wa nje,jitambueni!!
Ulivyo na akili zinazonuka uharo kama samuya, unabeba kila uvundo anaoutema na domo lake chafu.
 
Mpo busy na mitandao huku mali za nchi zikidafirishwa kupitia Bandari yao vitu vya msingi hamtaki kuongea mnatuletea nyuzi za hovyo hovyo kila kukicha ili kudumaza ubongo wa Watanzania ila hakuna kitu kama hicho...
 
Hamtaki mawazo mbadara, hamtaki kukosolewa mnapokosea, hamtaki mijadara ya mambo yanayowagusa wananchi, hamtaki kuambiwa ukweli.

Mnapenda kusifiwa, mnataka kila mtu awe chawa, mtu akiwa tofauti na nyinyi mnamuua ni aibu sana.

Hayo yote yanaletwa na uwezo mdogo.
 
Uongo unapingwa na ukweli haupingwi na kujisajili kwa ID.

Samuya anasema uongo kila siku na ID yake inajulikana na wananchi wote, hivyo kuijua ID ya mtu hakuzuii mtu huyo kusema uongo.

Ukilazimisha watu watumie ID zao ndiyo mwanzo wa wasiojulikana kuja hapa kuanza kuteka watu.

Huelewi wapi?
 
Bora ya fb kuliko jf mmezidi ujinga na taarifa za uongo za kutunga kwa kujificha humu jf,ni swala la muda tu linakuja matusi,uchochezi,uongo,nk vitafikia mwisho
Kwahiyo mtu kumtukana mtu ni issue ya kuteka mtu?? ...issue labda iwe inatishia usalama wa nchi hapo sawa
 
Kuwa mwana JF kunakutaka uwe critical thinker, yaani uwe na akili ya kugundua kama hoja na elements za uwongo ama lah.

We kama unataka vitu virahisi bila kuumiza akili kaunde mtandao wako ili members wawe wewe, mke na watoto wako.
Mtoa mada chukua huu ushauri utakusaidia
 
Mbona wewe umejiunga na hilila Haki kwa wote?
 
Serikali sio wapuuzi wakafungia source of data..afu inaonekana mkubwa wew mbona unashindwa kutambua jambo dogo kama hilo
 
Naunga mkono hoja!
Hata hivyo kama kungekuwa na Sheria inayolinda Uhuru wa Mtu kutoa Maoni yake watu wangeweka ID sahihi.
Sasa kama Mtu akiikosoa serikali hata kwa lililo la Kweli anatekwa na Kupotezwa atakubali kuweka ID halisi?
Wati jawatekwi kwa kukosoa serikali bali kwa kutukana ovyo na kutumia lugha za matusi dhidi ya viongozi badala ya kubeba SERA wao wanabeba MATUSI ,kutoa MAONI /SERA siyo kuvunja sheria bali KUTOA LIGHA ZA MATUSI ni kuvunja sheria,kosoa serikali kistaarabu hata wao viongozi ni binadamu na wananguvu za kukuthibiti kwa njia yoyote ile ujuaji wako ndiyo uninga wako
 
Na ndio Serikali yenu huwa inafanya hivi kutatua matatizo bila kufikiria outcomes,..unakumbuka serikali iliongeza bei ya mafuta ya taa hili kukomesha wafanya biashara wanaochanganya diesel na kerosene?Hadi bei ya diesel Ikawa sawa na mafuta ya taa??basi,

Watu wakijisajili humu na mitandao mwingine kwa NIDA,hasara itakua kubwa upande wa siri za nchi(national security bleach)..fikiria kwamba Instagram, Google inamilikiwa na CIA,Samia katukana wakina who are they,halafu wakina who are they Wana taarifa za NIDA za Kila mtumiaji wa social networks wa Tanzania,umri,kipato,makazi,elimu nk...

Are you stupid??
 
Umetumwa sio?
 
Kuna kitu kinaitwa privacy rudi kamwambie jf hatuwezi kufata maelekezo yako wala yao mwambie amefeli hapa jf unaweza kuhakiki taarifa kupitia jamii check narudia mwambie aliokutuma hii sio TBC ni jukwaa la kijamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…