Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF


Huna akili unabwabwaja tu kuna serikali gani Afrika iloyo na security wakati kila kitu cha kimtandao wanatumia vya nje?
.Acha mihemko na chuki za siasa za maji taka
 
Mmepigiwa kura na 97% lakini mnaiogopa 3%
 
Kama watu wana taarifa sahihi na habari zao ziyo ya uchochezi wala kupika wanaogopa nini kuweka ID zao za kweli kwa kutumia kitambulisho cha NIDA,namba za simu,leseni za udereva,nk?

Swali zuri sana
Watu wanaogopa kuweka ID zao kwa sababu wakitoa taarifa za kukosoa serikali, wanatekwa na kuuawa. Kama Tanzania ingekuwa inafuata haki, uhuru wa kidemokrasia na hakuna kutekana na kuuana basi watu wasingeogopa kuweka ID zao hadharani
 
Jamii itakutetea lakini haitozuia kutekwa kwako na kuuawa kwako. Usikaze fuvu
 
WEWE ID YAKO NI SAHIHI?? NG'OMBE WEWE
 
Unalombwa na abdul
 
UMEANDIKA HARAKA HARAKA SANA, jitahidi kutuliza akili na uwe na mwandiko unaosemeka vizuri. SEEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…