Kuna haja ya kuanzisha somo la namna ya kumuelewa na kumuenzi Hayati Magufuli

Vitambulisho vilitolewa mwaka gani? Na kulikuwa na mwendelezo wa hiyo 20k?

Hela za ushuru zilienda halmashauri
 
Vitambulisho vilitolewa mwaka gani? Na kulikuwa na mwendelezo wa hiyo 20k?

Hela za ushuru zilienda halmashauri
Bro sijafuatilia muendelezo wake, ninachojua halmashauri zimejaa rushwa kuanzia mkusanyaji wa chini mpaka Wakurugenzi… tena siku hizi wanazikusanya kwa machine thanks to pombe huyo huyo,… wanazichezea sana…
 
Vile vitambulisho walivyokuwa wakiuziwa na wakuu wa mikoa umesahau? Elfu ishirini kila mmoja times idadi yao nchi nzima, kumbuka walivyojaa mpaka barabarani… kila mkoa, kila wilaya, kila mtaa …. Never underestimate the potential of numbers.
Hizo heka za "kodi ya vitambulisho" zilipelekwa wapi!!??

Kutoka 20:3
"Usiwe na miungu mingine ila mimi".
 
Bro sijafuatilia muendelezo wake, ninachojua halmashauri zimejaa rushwa kuanzia mkusanyaji wa chini mpaka Wakurugenzi… tena siku hizi wanazikusanya kwa machine thanks to pombe huyo huyo,… wanazichezea sana…
Kumbe hujafuatilia, kufuatilie ndio uje kubishana
 
Hizo heka za "kodi ya vitambulisho" zilipelekwa wapi!!??

Kutoka 20:3
"Usiwe na miungu mingine ila mimi".
Tumuulize mama Samia, kuhusu hizo hekaya.

Kuhusu hayo maandiko ya miungu nadhani wewe ndio tukusaidie, miungu ya Waisrael na warumi kamwe haitakusaidia wewe hapo kwa mparange… tafuta Mungu wako acha hekaya za warumi.
 
Magu alitaka tumwabudu

Magu alitaka awe alpha na Omega kwenye maisha yetu

Magu alitaka hata former Presidents wampigie magoti

Magu ni laana juu ya nchii
Viva Samia.. ...
una uhakika ?
 
Haya masomo tulonayo hayatoshi jamani??
 
Tumuelewe Ili iweje?ndio ajira ziwe nyingi?Elimu yetu ndio itaboreka?
Kilimo ndio kitakuwa Bora?
Rushwa ndio itakwisha?
Matatizo yetu ni Ajira kwa vijana,
Kilimo Bora,
Viwanda,
Tekinolojia.
Sasa Kummkumbuka Jiwe,kutasaidia nini?
 
Unamuenzi vipi mtu alieminya demokrasia na haki za binadamu!
Unamuenzi vipi Rais ambae alitesa watu wake wa kuwaua,kuwafunga na kuwapiga risasi mchana kweupe!
Tumuenzi mtu ambae hakuheshimu Katiba iliyompa Uraisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…