DOKEZO Kuna haja ya kufanyika uchunguzi Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni (Manispaa ya Moshi) kwa thamani ya Bilioni 2!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pe
Huo ni wizi, hilo soko likigharimu sana ni TShs. Millioni 250 na si zaidi ya hapo. Hizo pesa zinaibwa mchana kweupe. Waafrica tuna shida na wengine mnatetea wezi. Shame on you.
Akili ww hauna kwa sababu hujui Kitu...Kuna TAKUKURU, OFISI YA USALAMA YA WILAYA hao wasione wizi wa hela za umma uone wewe karunguyeye.
Kama una ushahidi wa Ubadhirifu peleka ushahidi izo ofisi apo lakini kama huna kaa kimya.
Watanzania wepesi sana kuongea kama vichaa bila kujua mambo kwa undani.
 
Mwandishi nafikiri unamaanavya thamani ya ujenzi wa soko na siyo dhamani ya ujenzi wa soko.
 
Wewe huna akili kabisa na kama umeshindwa kukadiria huo si wizi basi akili zako si sawa. Hatuwezi kukaa kimya kwa kudanganywa na wapumbavu kama wewe. TAKUKURU wenyewe wezi na hao ofisi ya wilaya wanapiga pesa kwani nani asiyewajua? Acha ufala wako, ongea ukweli. Unataka ushahidi wa nini wakati hata layman kama wewe anajua ukweli, unatetea nini wewe bwege?
 
Adui namba moja wa Tanganyika ni CCM na katiba ya mwaka 1977.
Hayo ni mambo ya wizi wa kampuni kwa kusaidiana na watendaji wa serekali infact ni wizi kamilifu kilichofanyika hapo hakizidi 100ml.,sasa unaihusishaje CCM na katiba yake?, (hapo ni watu wakamatwe na wapelekwe msaranga moja kwa moja Bila kupoteza muda, kwani, wanawavunja moyo "walipakodi wetu" kwa mambo ya aibu namna hii.
 
Mji upanuliwe kwa kujenga satellite city!, wasitujenge na design ya vitu vya ajabu ajabu,
Moshi Mjini ndiyo town ya wachaga wote, Bila kujali, sijui huyu mkibosho, mmarangu, mworombo, mkilema, basi nimshukuru sana kuringe, ameheshimisha kwa namna fulani basi ni budi na wengi wakafuata kwa kujenga majengo ya maana ya kiuchumi katika kustawisha eneo hili tulivu sana.
 
Kumbe we ni punguani mla bangi tu....Endelea na Bangi zako huna unalolijua.
Eti umeshindwa kukadiria wewe una utaalam gani wa kukadiria gharama za ujenzi ili hali unaishi kwa Dada huna hata banda la kuku.
 
Attachments

  • images (13).jpeg
    10.9 KB · Views: 25
Napitaaaa tuuuuu.....wapi ubora wa PM? Siku hizi anafungua tu zamani alikuwa anagoma kufungua kanyaboya hizii sasa je kuna maelekezo ??? Au wanachepushia project kama hizi??
 
Napitaaaa tuuuuu.....wapi ubora wa PM? Siku hizi anafungua tu zamani alikuwa anagoma kufungua kanyaboya hizii sasa je kuna maelekezo ??? Au wanachepushia project kama hizi??
Mkurugenzi Moshi Manispaa ni tatizo, na tatizo hili limetengenezwa ,Kwa Nia mbaya na kwa makusudi, kupitia kigogo mmoja,aliyeko Magogoni .

Ambaye alimhamisha kutoka Mwanga DC ,kwenda Moshi Manispaa.
Lengo ni kuhakikisha anatengeneza data hewa,ili kufanya wizi mkubwa na mwisho akagombee ubunge huko kwao, October 2025.

Kwa maana nyingine, huu ni mtandao mkubwa na utshitajika uvunjwe haraka iwezekanavyo.
 
Soko Lile lile la Mbuyuni,huko Moshi Manispaa, limepanda gharama kutoka 2 billions hadi 5.9 billions.

Tulishangaa gharama za awali ,sasa tunashangaa picha ya Samia yenye 5.9 billions.
Tuakukuru,Takukuru,Takukuru
Alishawaambia wale kwa urefu wa kamba zao
 
Kumbe we ni punguani mla bangi tu....Endelea na Bangi zako huna unalolijua.
Eti umeshindwa kukadiria wewe una utaalam gani wa kukadiria gharama za ujenzi ili hali unaishi kwa Dada huna hata banda la kuku.
Wewe ni fala na mjinga sana, hujui chochote. Usifikiri wote ni wapumbavu kama wewe unayetegemea kuvuta bangi wewe kima ili uongee fala wewe. Ungekuwa na akili ningekuajiri lakini naona umekalia ujinga na hata uwezo wa kufikiri huna. Pumbavu wewe.
 
View: https://www.instagram.com/reel/DHSmKPhoAq1/?igsh=bHNhNmVjZnVsc3E0
Picha ya soko la Billion 2, itizameni
 
Ujenzi wa masoko ni uchochoro wa kuiba pesa za umma. Siku moja nlipita Dodoma nikakuta kasoko kama uchochoro kanaitwa machinga eti kamekula mabilioni ya pesa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Soko Lile lile la Mbuyuni,huko Moshi Manispaa, limepanda gharama kutoka 2 billions hadi 5.9 billions.

Tulishangaa gharama za awali ,sasa tunashangaa picha ya Samia yenye 5.9 billions.
Tuakukuru,Takukuru,Takukuru
TAKUKURU ndo nini? Mlishawahi kuona Mkurugenzi amefungwa na kufirisiwa na TAKUKURU chini ya Mahakama?
TAKUKURU kazi yake kushughulika na wafanyakazi vidagaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…