milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
- Thread starter
- #101
TAKUKURU ndo nini? Mlishawahi kuona Mkurugenzi amefungwa na kufirisiwa na TAKUKURU chini ya Mahakama?
TAKUKURU kazi yake kushughulika na wafanyakazi vidagaa!
TAKUKURU ndo nini? Mlishawahi kuona Mkurugenzi amefungwa na kufirisiwa na TAKUKURU chini ya Mahakama?
TAKUKURU kazi yake kushughulika na wafanyakazi vidagaa!
Tujiongeze tulete tuzo za Ufisadi na sio za kichekesha,nakuhakikishia Chama Dume watazibeba zote hata mataifa ya nje yakishiriki.Nakuhashia Chama Dume watasomba na maua yake ya ufisadi.Ndio maana Mbowe alisema hata malaika akiingia Chama Dume atageuka kuwa Ibilisi ndani ya siku tatu.Huu mji wa Moshi enzi za Chadema ulikuwa mji wa maana
hawalaumik hela inakua chen hali m2 m1 wanapean ganj so amna anaekagua akatia kasor tunaobak kulalamik raiaOrodha ya wanaohitajika kulaumiwa:
1. Mkurugenzi Moshi Manispaa
2. Management ya Moshi Manispaa
3. Mayor na Diwani wa eneo husika
4. DC MOSHI
5. RAS MKOA WA KILIMANJARO
6. RC Kilimanjaro
7. Kamati za SIASA za CCM wilaya na mkoa( Hwakukagua huu mradi ).
8. Takukuru wilaya na mkoa