Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ?
Hiki Chama ambacho kina :-
1. Mafisadi
2. Kina watu wanajiita wenye Chama
3. Kuna watu wanajiita wenye Nchi
4. Wanafiki
5. Wazalendo wachache
Ni Cha kufutwa na Tuanze na Vyama vipya na history ya Chama hichi iandikwe kwenye vitabu watu waje wakisome vizazi na vizazi .
Kimeharibu Sana Nchi labda Mama atusaidie afanye mambo katika kipindi chake anaonyesha dalili Nzuri ila kiuhalisia hichi Chama ni hatari kwa Afya ya Taifa .
Yaani tuwe na Topic kabisa iitwe UTAWALA MBOVU WA CCM watoto wasome wajifunze tulikosea wapi wakiwa wadogo .