residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Wapo makapiteni,makanali,maluteni,mameja,mabrigadia, kibao tu.Let's assume it's true CCM imechoka na haifai, nani mbadala wa kukabidhiwa Ikulu yetu?.
P
Wapo CHADEMA, UPTP,UDP, UMMA P, CUF, ACT, NCCR, n.k.
Wakati TANU chini ya Mwalimu inakabidhiwa nchi, wakoloni wa jana walisema vivyo hivyo kama msemavyo wakoloni wa leo.
NB: Hoja ya CCM kuchoka na kutokufaa si suala la "kuassume", ndiyo hali halisi na ukweli ulio wazi.