CCM kuifuta hapana mkuu. Najua una hasira lakini fikiria mara mbili mbili. CCM
kama chama hakina matatizo tatizo ni watu wake. Unakumbuka enzi za Dkt Magufuli, hatukusikia kabisa watu wanajiita wenye chama wala wenye nchi, ila baada ya yeye kufariki sasa kuna wenye nchi na wenye chama ndiyo wanaongoza CCM. Kwa hiyo ombi lako lingekuwa zuri kama ungesema tuwafute wanafiki wote ndani ya CCM, yaani yupoteze kizazi chote cha akina Nape kije kizazi cha akina Dkt Magufuli. Maana yangu ni kuwa hakuna chama mbadala ambacho kipo organized kama CCM kwa sasa na baadaye, CCM inaleta umoj.