Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

Labda mabadiliko yaletwe na wananchi ila vyama msitegeme

Swali je!je kwa sasa wananchi bila itikadi ya vyama/siasa wako tayari
Kwa madiliko

Ova
 
Maendeleo na mabadiliko yana uhusiano mkubwa sana na Siasa
 
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ?

Hiki Chama ambacho kina :-
1.Mafisadi

2.Kina watu wanajiita wenye Chama

3.Kuna watu wanajiita wenye Nchi

4.Wanafiki

5.Wazalendo wachache

Ni Cha kufutwa na Tuanze na Vyama vipya na history ya Chama hichi iandikwe kwenye vitabu watu waje wakisome vizazi na vizazi .

Kimeharibu Sana Nchi labda Mama atusaidie afanye mambo katika kipindi chake anaonyesha dalili Nzuri ila kiuhalisia hichi Chama ni hatari kwa Afya ya Taifa .

Yaani tuwe na Topic kabisa iitwe UTAWALA MBOVU WA CCM watoto wasome wajifunze tulikosea wapi wakiwa wadogo .​

6. Wachawi

7.Watekaji

8.Watesaji

9.Wauaji

10.Wezi wa kura.....
 
Tatizo lako ndilo wanalo watanzania wengi, watanzania wanadhani mageuzi huletwa na viongozi wa vyama ambao hawafiki 20! Nchi zote duniani kasoro Tanzania mabadiliko huletwa na wananchi bila kujali vyama vyao kwani madhara ya kukosa maendeleo wanayapata watu wote kasoro viongozi wa chama kinachotawala na familia zao. Usiendelee kusubiri Mbowe akuletee mageuzi, hata Nyerere hakuleta mageuzi peke yake, ni wananchi kwa umoja wao bila kujali uanachama wa Tanu walishirikiana, sisi Tanzania tungetawaliwa na makaburu tungekuwa bado tunatawaliwa tukimsubiri Mandela awaondoe makaburu! Malawi wananchi wote bila kujali vyama walikataa matokeo ya wizi wa kura na tume ya uchaguzi waliikataa, matokeo tume ikafutwa na uchaguzi ukarudiwa chini ya tume huru, huo ndio uzalendo kwa nchi yako.
Labda hukunielewa, ila usemacho ndiyo nilicho jaribu kusema.
 
Sio rahisi kuiondoa CCM ? Nani kakudanganya.,.HAKUNA LISILOWEZEKANA CHINI YA JUA."Kwani KANU ya KENYA Kwa Sasa iko wapi ! Hata Makaburu wa SOUTH AFRICA walikuwa wanasema Sio rahisi Kwa ANC kuitawala Afrika Kusini.Mungu akamleta Rais W.DE-CLARK. akaipa ANC kuitawala S/Africa kiulaini bila hata ya mapigano.Akaruhusu uchaguzi huru na haki,ANC ikaingia IKULU kiulainii.Tunashukuru Mungu pia kamleta Rais SAMIA,ambaye Ni mcha Mungu.Huyu ndo DE-CLARK wetu Tanzania.Yeye Ni mpenda haki na hataki dhuluma.2030,Ataruhusu uchaguzi huru na haki Tanzania.Matokeo ya uchaguzi wa 2030, tuombe MUNGU tuwe hai,utashuhudia matokeo yake.Naomba kuwasilisha.
 
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ?

Hiki Chama ambacho kina :-
1. Mafisadi

2. Kina watu wanajiita wenye Chama

3. Kuna watu wanajiita wenye Nchi

4. Wanafiki

5. Wazalendo wachache

Ni Cha kufutwa na Tuanze na Vyama vipya na history ya Chama hichi iandikwe kwenye vitabu watu waje wakisome vizazi na vizazi .

Kimeharibu Sana Nchi labda Mama atusaidie afanye mambo katika kipindi chake anaonyesha dalili Nzuri ila kiuhalisia hichi Chama ni hatari kwa Afya ya Taifa .

Yaani tuwe na Topic kabisa iitwe UTAWALA MBOVU WA CCM watoto wasome wajifunze tulikosea wapi wakiwa wadogo .​
2025 twende na Idugunde. Huyu ni kada mzoefu wa ccm. Hivyo tukimpa nafasi kwenye kukiua chama chake, hakika hatotuangusha.

Na uzuri yuko karibu sana na Jenerali Lengai Ole Sabaya, mzee wa kipenyo! Naamini hakuna kitakacho haribika.
 
😂😂😂 itakuwa poa
 
Au tutaita Zama za Giza
 
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ?​
Mkuu RNA, kwanza naheshimu mawazo yako hata kama sikubaliani nayo, pili nimekutwangia like.
Tatu mimi naomba kuwa Mwalimu wa kujitolea kukufundisha Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Pasco
 
Tatizo lako ndilo wanalo watanzania wengi, watanzania wanadhani mageuzi huletwa na viongozi wa vyama ambao hawafiki 20! Nchi zote duniani kasoro Tanzania mabadiliko huletwa na wananchi bila kujali vyama vyao kwani madhara ya kukosa maendeleo wanayapata watu wote kasoro viongozi wa chama kinachotawala na familia zao. Usiendelee kusubiri Mbowe akuletee mageuzi, hata Nyerere hakuleta mageuzi peke yake, ni wananchi kwa umoja wao bila kujali uanachama wa Tanu walishirikiana, sisi Tanzania tungetawaliwa na makaburu tungekuwa bado tunatawaliwa tukimsubiri Mandela awaondoe makaburu! Malawi wananchi wote bila kujali vyama walikataa matokeo ya wizi wa kura na tume ya uchaguzi waliikataa, matokeo tume ikafutwa na uchaguzi ukarudiwa chini ya tume huru, huo ndio uzalendo kwa nchi yako.
Nakubaliana na hoja yako, but this is just a theory, practical is something else Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Mkuu Pascal naheshimu mawazo yako pia lakini Chama kilichokaa zaidi ya Miaka 45 bado mambo mengi yanasuasua hakifai kuendelea kuongoza Nchi
Let's assume it's true CCM imechoka na haifai, nani mbadala wa kukabidhiwa Ikulu yetu?.
P
 
Mkuu RNA, kwanza naheshimu mawazo yako hata kama sikubaliani nayo, pili nimekutwangia like.
Tatu mimi naomba kuwa Mwalimu wa kujitolea kukufundisha Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Pasco
Duniani hakuna milele hili kaa ukijua.

Mliposema magufuli atatawala milele mlikuwa wajinga kwa sababu Mungu mwenyewe hakuonesha kwamba dunaian kutakuwa na milele.

Lengine lolote ambalo lipo chini ya jua uelewe litakuwa na mwisho wake.

Najua unapokuwa na mawazo ya kusema haiwezekani ccm kuondoka madarakani nakushangaa sana.

Unajua kwamba utakufa na hautorudi tena duaniani maana yake hautaishi milele.

Na ccm itaondoka na haitabakia milele.

Mawazo yako yote na ujeuri huwo unawaza policcm,jeshi,tiss na vyombo vyengine vya dola. Ccm utakufa tu usijidanganye.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom