Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

Labda mabadiliko yaletwe na wananchi ila vyama msitegeme

Swali je!je kwa sasa wananchi bila itikadi ya vyama/siasa wako tayari
Kwa madiliko

Ova
 
Labda mabadiliko yaletwe na wananchi ila vyama msitegeme

Swali je!je kwa sasa wananchi bila itikadi ya vyama/siasa wako tayari
Kwa madiliko

Ova
Maendeleo na mabadiliko yana uhusiano mkubwa sana na Siasa
 

6. Wachawi

7.Watekaji

8.Watesaji

9.Wauaji

10.Wezi wa kura.....
 
Labda hukunielewa, ila usemacho ndiyo nilicho jaribu kusema.
 
Sio rahisi kuiondoa CCM ? Nani kakudanganya.,.HAKUNA LISILOWEZEKANA CHINI YA JUA."Kwani KANU ya KENYA Kwa Sasa iko wapi ! Hata Makaburu wa SOUTH AFRICA walikuwa wanasema Sio rahisi Kwa ANC kuitawala Afrika Kusini.Mungu akamleta Rais W.DE-CLARK. akaipa ANC kuitawala S/Africa kiulaini bila hata ya mapigano.Akaruhusu uchaguzi huru na haki,ANC ikaingia IKULU kiulainii.Tunashukuru Mungu pia kamleta Rais SAMIA,ambaye Ni mcha Mungu.Huyu ndo DE-CLARK wetu Tanzania.Yeye Ni mpenda haki na hataki dhuluma.2030,Ataruhusu uchaguzi huru na haki Tanzania.Matokeo ya uchaguzi wa 2030, tuombe MUNGU tuwe hai,utashuhudia matokeo yake.Naomba kuwasilisha.
 
2025 twende na Idugunde. Huyu ni kada mzoefu wa ccm. Hivyo tukimpa nafasi kwenye kukiua chama chake, hakika hatotuangusha.

Na uzuri yuko karibu sana na Jenerali Lengai Ole Sabaya, mzee wa kipenyo! Naamini hakuna kitakacho haribika.
 
2025 twende na Idugunde. Huyu ni kada mzoefu wa ccm. Hivyo tukimpa nafasi kwenye kukiua chama chake, hakika hatotuangusha.

Na uzuri yuko karibu sana na Jenerali Lengai Ole Sabaya, mzee wa kipenyo! Naamini hakuna kitakacho haribika.
😂😂😂 itakuwa poa
 
Au tutaita Zama za Giza
 
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ?​
Mkuu RNA, kwanza naheshimu mawazo yako hata kama sikubaliani nayo, pili nimekutwangia like.
Tatu mimi naomba kuwa Mwalimu wa kujitolea kukufundisha Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Pasco
 
Nakubaliana na hoja yako, but this is just a theory, practical is something else Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Mkuu Pascal naheshimu mawazo yako pia lakini Chama kilichokaa zaidi ya Miaka 45 bado mambo mengi yanasuasua hakifai kuendelea kuongoza Nchi
Let's assume it's true CCM imechoka na haifai, nani mbadala wa kukabidhiwa Ikulu yetu?.
P
 
Duniani hakuna milele hili kaa ukijua.


Mliposema magufuli atatawala milele mlikuwa wajinga kwa sababu Mungu mwenyewe hakuonesha kwamba dunaian kutakuwa na milele.

Lengine lolote ambalo lipo chini ya jua uelewe litakuwa na mwisho wake.

Najua unapokuwa na mawazo ya kusema haiwezekani ccm kuondoka madarakani nakushangaa sana.


Unajua kwamba utakufa na hautorudi tena duaniani maana yake hautaishi milele.

Na ccm itaondoka na haitabakia milele.

Mawazo yako yote na ujeuri huwo unawaza policcm,jeshi,tiss na vyombo vyengine vya dola. Ccm utakufa tu usijidanganye.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…