Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

Anatafuta ugali
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Ccm ni limbuyu likubwa huwezi kulifuta kirahisi Kama unavyodhani.
 
Unaonaje ukasubiri kwanza tumalizane na Lissu kule Chadema kisha ndiyo tuje kusikiliza hizi pumba. Unawezaje kufuta kumbukumbu za Baba na Mama yako waliokuzaa kama siyo ukosefu wa adabu.Au wakuvulie nguo ukaokote makopo ?
 
Kwa kinachoendelea chadema, sasa nimeamini,ili Kuiondoa ccm madarakani, ni kwa risasi, fujo, kama inavyofsnyika sasa hv Msumbiji,
Au ilivyofsnyika nchi za magharibi, ambapo vijana wa kijeshi wamechukua nchi, ila hapa kwetu hata huko jeshini, wamejaaa vilaza watupu, inabidi ifsnyike kama Sylia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…