murthehelp
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 193
- 160
Mfumo wa kupiga kura na uhesabuji kura nchini Tanzania hauko sawa na haukubaliki, kuna haja ya kubadili mfumo huu wa sasa wa kupiga kula na kutengeneza mfumo mpya wa kupiga kura.
Tutoke analog na kuelekea digital. Ili kuwe na mahala au site ambayo wananchi wanaweza kuangalia maendeleo ya upigaji kula na kufuatilia mshindi kwa urahisi zaidi.
Maswala ya kutuletea kamati na tume bubu zisizoeleweka kipindi cha uchaguzi, Nasema hapana haikubalikuli.