hahahaaaaa MITANO TENASipati picha mzee wa chato akiwa anamiliki codes za kurusha mabomu ya nyuklia. Mbona mabeberu watachoka. Ila na sisi raia cha moto tutaisoma namba nadhani zitakuwa za kichina kabisa hizo no
Uranium tunayo ila hatuna teknolojia ya kuivuna.Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia, wachina wana nyuklia, ni wakati na sisi waislam kuwa nayo". Wakapambana hadi wakawa nayo.
Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia kwaajili ya MAD na deterrence?
unajua madhara ya Africa kumiliki hizo siraha, unajua Dunia ipo kwenye tishio la kuzuka vita ya Nuclear Bombs trend inapoelekea chini ya siraha kumilikiwa na Developing Countries...Korea ni moja ya nchi inayotishia kuzuka kwa vita je siko Burundi, Tz, Uganda nk wakimiliki unajua nini kitatokea.Waafrika tukikosa hizo siraha tutakuwa ni wazembe.