Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia?

Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.

Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia, wachina wana nyuklia, ni wakati na sisi waislam kuwa nayo". Wakapambana hadi wakawa nayo.

Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia kwaajili ya MAD na deterrence?
 
Sipati picha mzee wa chato akiwa anamiliki codes za kurusha mabomu ya nyuklia. Mbona mabeberu watachoka. Ila na sisi raia cha moto tutaisoma namba nadhani zitakuwa za kichina kabisa hizo no
hahahaaaaa MITANO TENA
 
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.

Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia, wachina wana nyuklia, ni wakati na sisi waislam kuwa nayo". Wakapambana hadi wakawa nayo.

Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia kwaajili ya MAD na deterrence?
Uranium tunayo ila hatuna teknolojia ya kuivuna.
Huu uchawi tunaorogana mbona ni nyuklia tosha sana?
Mtu anakuroga hadi kizazi chako cha sita kisa eti umemnyima chumvi
 
Mabomu 10 ya Hydrogen yenye Megaton 50 kilamoja yanatosha kupoteza Human Race duniani kwa ndani ya dakika 20 tu.
 
Waafrika tukikosa hizo siraha tutakuwa ni wazembe.
unajua madhara ya Africa kumiliki hizo siraha, unajua Dunia ipo kwenye tishio la kuzuka vita ya Nuclear Bombs trend inapoelekea chini ya siraha kumilikiwa na Developing Countries...Korea ni moja ya nchi inayotishia kuzuka kwa vita je siko Burundi, Tz, Uganda nk wakimiliki unajua nini kitatokea.

kila mmoja ni fahari na fahari wengi hawakai zizi moja The World Will turn into red ashes.
 
Back
Top Bottom