Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia, wachina wana nyuklia, ni wakati na sisi waislam kuwa nayo". Wakapambana hadi wakawa nayo.
Kuna haja ya mtu mweusi kuwa na silaha za nyuklia kwaajili ya MAD na deterrence?