Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Wewe usiyependa kumshauri vyema ndiyo unataka adhalilike. Unadhani dunia nzima hawana akili kujua kipi ni sawa na kipi si sawa? Msimpotoshe Rais kwakupenda kwenu kupewa vyeo na faid binafsi. Acheni hizo tabia za hovyo. Kila mwenye sense na mature anajua kipi ni sahihi na kipi siyo hata kama hawatakwambia.
 
Wanawake wa Zenji ndivyo walivyo,hawana wakati wa kulegeza sauti ,ni nipe nikupe ,hivi mbona Trump alikuwa zaidi ya Samia,yaani Trump anakumaliza hapo hapo na anakwambia kaaa sikujbu tena.
Samia yupo sawa,hawa vitarishi vinavyopachikwa masuali haina haja ya kuwaonea haya ni kuwapa makavu na ndivyo ilivyokuwa.
 
Chadema mmeishiwa nguvu. Suala la katiba mwachieni rais mwenyewe ataliamua.


CHADEMA ni KIRUSI

Haya tunayopitia, ni heri tu ccm iendelee kutuongoza. Chadema mtatugawa, chama chenyewe cha kaskazini mhhhh!!!!! Hapana aise ni bora CUF au ACT lakini co chadema, tlp wala nccr mageuzi.
 
Kujua kuzungumza ni kipaji, makuzi na elimu. Mtu kama huyu kwa jinsi anavyojibu hatokuja kuelewa kuzungumza ktk nafasi hiyo. Alishakuwa waziri, alishakuwa makamu wa rais, leo hii bado yuko kiwango kama hicho! Naamini yeye ukimuuliza yaweza kuwa alipania kwamba hiyo ndo mbinu ya kuonesha yeye ni 'ngangari', kumbe hoi! Elimu ya hapa na pale ni tatizo na huo ndo ukweli.
 
Mama kajibu vyema sana, katiba inaweza kuwa inahitaji sawa lakini sio kipaumbele cha wananchi wa Tanzania hivyo mtangazaji anaposema wananchi wanataka katiba mpya hiyo sio kweli.
 
Tatizo lake ni iq ndogo, hili mnajaribu kulificha kwa mapambio ya uongo
 
Tatizo kaonesha ubishi wa mcheza bao na karata. Mkumbushe anaulizwa kama rais.
 
Halali kisa 2025 ila ukweli ni Kwamba hapati bora akatumie mda uliobaki kuleta katiba mpya WENDA Taifa likamkumbuka Sana KWa hili,
Ni bahati mbaya watu hawependi ukweli hupenda maneno matam matam tu ,Sasa nimesema ukweli
 
Umesahau kama ni mama wa mipasho. Unaweza kumdhibiti mama mipasho.
 
Bora yeye kajibu hivyo, jiwe alisema kwenye kampeni hakuna mahali aliahidi mambo ya katiba mpya hivyo hataki kuulizwa hayo maswala na hakuna aliyeendelea kumhoji wala kuanzisha vuguvugu la katiba mpya.
Usitukumbushe habari za jiwe, wala hisia zake maana ni balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…