Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Hapana sio kawaida kwa Rais kupanic kwenye issues ndogo ndogo kama hizo.Kawaida tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio kawaida kwa Rais kupanic kwenye issues ndogo ndogo kama hizo.Kawaida tu
aliandaliwa kuwa makamo.Amekosa presidential traits.
Amezingua sana. Sijui hawaandaliwi!?
Na tayari yule member maarufu humu jf ameshotoa uzi ule hapo januari Mwaka huu kuwa FDR atatawla miaka 12oHajawahi kujiamini hata siku moja kitu kinachomfanya awepo na kuendelea kuwepo hapo ni usalama wa taifa vinginevyo angekuwa ameachia ngazi muda mrefu. The state instrument is very powerful to retain someone in position irrespective of the challenges facing
Mbona ashajichanya sanaUko sahihi,Siku akikutana na wanaojua maswali ya kukera atakuja kujichanganya na kuongea ambayo hakupaswa kuongea
Umemtupa Lissu siku hizi kutwa kuchwa na SSH?Leo chato kuna mvua au jua?
Mkapa alitaka kupiga mtu kwenye hard talk!Uko sahihi,Siku akikutana na wanaojua maswali ya kukera atakuja kujichanganya na kuongea ambayo hakupaswa kuongea
Ugaidi wa kutaka kuleta mtafaruku nchi isitawalike.Mbowe alikaa gerezani kwa sababu zipi?
Hakugombea Wala kuchanguliwa na Wala hakujiandaa kuwa RaisAmekosa presidential traits.
Amezingua sana. Sijui hawaandaliwi!?
Umenikumbusha ya JK na yule mama Amanpour sijuiKikeke Wala hakuwa na maswali magumu labda pengine ni ile nidhamu na heshima kwamba anaongea na Nani
Lakini kuna manguli wao wanaangalia taaluma zao tu.
mbona mama mtamkataa
Mbona yupo nje?Ugaidi wa kutaka kuleta mtafaruku nchi isitawalike.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
anaweza akamwaga chozi akibanwa sana, maana kule hakuna script.Akienda Hard Talk itakuwa mtafutano
Ni kweli keshajichanganya sana ila siku alikutana na wauliza maswali ya kukera huko nje atakuja kusema mambo ambayo yatamgharimu sanaMbona ashajichanya sana
Anaweza hata kuongea shombo kwa mwandishi,tena kwa kiswahili si unajua na kiingereza nacho ukishapaniki na chenyewe kinakukataa unaona bora nimpe makavu ili moyo uridhike[emoji3]Akienda Hard Talk itakuwa mtafutano
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public. Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Friendship is more than talent. It is more than government. It is almost the equal of family. Never forget that. If you had built up a wall of friendship you wouldn't have to ask me to help. - Don Corleone
Never hate your enemies. It affects your judgment - Don Corleone
Never let anyone know what you are thinking.
We are all honorable men here, we do not have to give each other assurances as if we were lawyers.
Mario Puzo, The Godfather (The Godfather, #1)He had long ago learned that society imposes insults that must be borne, comforted by the knowledge that in this world there comes a time when the most humble of men, if he keeps his eyes open, can take his revenge on the most powerful. It was this knowledge that prevented the Don from losing the humility all his friends admired in him.
The Godfather also exists as a template beyond the realm of art. Anyone who has worked in politics will testify that the story is a set text for candidates, their advisers and those who watch them.
[emoji3]Yaani ni bora afundwe mapema,majamaa huko duniani hayaangalii suraKikeke Wala hakuwa na maswali magumu labda pengine ni ile nidhamu na heshima kwamba anaongea na Nani
Lakini kuna manguli wao wanaangalia taaluma zao tu.
mbona mama mtamkataa
[emoji23][emoji23],mtu wa pwani akimchamba ndugu mwandishi wa kibeberuutasikia babu nitue na vidole juu kama anaimba taarabu. Hapo ndio tutajua kimeumana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂na masingi juu[emoji23][emoji23],mtu wa pwani akimchamba ndugu mwandishi wa kibeberu