Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Sio yeye kufundishwa...

Mwanamke ni mwanmke tu bila kujali wadhfa wake.. lawama zangu mimi ni kwa tiss badala ya kushauri vitu vya msingi wao wanaishi kwa raisi kama chawa kutafuta teuzi..

Unamuachaje raisi anaongea ongea anahojiwa hojiwa bila taratibu... Raisi akitoa kauli yoyote yeh ni public icon inasikilizwa kila sehemu hata akiongea kiutani...

Kabla ya kufanya chochote lazima apate ABC na aelekezwe impact katika jamii kutokana na iyo kitu...

Sasa mara kaenda ongea na mange kimambi leo kanya mnahangaika, kaenda kwa lisu na akina mbowe leo ndio wanatishia amani ya nchi.

Mbona mandate mnayo... Demokrasia sio kulea uovu.

Battle ni muhimu saana wakati w kitafuta amani
 
oHajawahi kujiamini hata siku moja kitu kinachomfanya awepo na kuendelea kuwepo hapo ni usalama wa taifa vinginevyo angekuwa ameachia ngazi muda mrefu. The state instrument is very powerful to retain someone in position irrespective of the challenges facing
Na tayari yule member maarufu humu jf ameshotoa uzi ule hapo januari Mwaka huu kuwa FDR atatawla miaka 12

!nahisi thread itajibu mwakani kabla ya March!!

kabla ya miaka miwili ya kikatiba tangu Mwendazake atutoke!!!

NGOJA Tuone Kati ya chief Tozo na msoga gang na the state nani atashinda mechi hiyo!!!
 
Itakuwa hana presidential demeanor.....kama vipi akabidhi kijiti come 2025, au na yeye amesukumiziwa humo kama kamanda JPM.
 
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public. Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Inabidi novels au series ya aina ya The Godfather cha Mario Puzo n.k kuhusu uvumilivu wa kiuongozi uazimwe...
Friendship is more than talent. It is more than government. It is almost the equal of family. Never forget that. If you had built up a wall of friendship you wouldn't have to ask me to help. - Don Corleone

Never hate your enemies. It affects your judgment - Don Corleone
Never let anyone know what you are thinking.
We are all honorable men here, we do not have to give each other assurances as if we were lawyers.
He had long ago learned that society imposes insults that must be borne, comforted by the knowledge that in this world there comes a time when the most humble of men, if he keeps his eyes open, can take his revenge on the most powerful. It was this knowledge that prevented the Don from losing the humility all his friends admired in him.
Mario Puzo, The Godfather (The Godfather, #1)
The Godfather also exists as a template beyond the realm of art. Anyone who has worked in politics will testify that the story is a set text for candidates, their advisers and those who watch them.
 
Back
Top Bottom