Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]
Walio mpatiaga umakamu hawakuona mbali.Mtu wa pwani
Mkuu kuna sindano za mchina ni balaa 😀Tabia ni kama ngozi ya mwili. Huwezi kuibadili.
Point. Wengi ya viongozi wa kiafrica wanajiaminisha kuwa wao ni 'untouchable'. Kitendo cha kumuuliza swali anahisi kama unamdhalilisha.Uwezo wa kukabiliana na maswali nayo ni taaluma, si kila kiongozi anaweza...
Jambo la muhimu ni kuchukua ujumbe uliobebwa katika majibu...
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa hata tabasamu la raisi tu linabeba ujumbe. Achilia mbali kauli zake. Leo hii raisi amekuwa kama mama mwenye nyumba anaedai kodi yake. Ana majibu ya mkato hata pale panapotakiwa maelezo ya kina.Sio yeye kufundishwa...
Mwanamke ni mwanmke tu bila kujali wadhfa wake.. lawama zangu mimi ni kwa tiss badala ya kushauri vitu vya msingi wao wanaishi kwa raisi kama chawa kutafuta teuzi..
Unamuachaje raisi anaongea ongea anahojiwa hojiwa bila taratibu... Raisi akitoa kauli yoyote yeh ni public icon inasikilizwa kila sehemu hata akiongea kiutani...
Kabla ya kufanya chochote lazima apate ABC na aelekezwe impact katika jamii kutokana na iyo kitu...
Sasa mara kaenda ongea na mange kimambi leo kanya mnahangaika, kaenda kwa lisu na akina mbowe leo ndio wanatishia amani ya nchi.
Mbona mandate mnayo... Demokrasia sio kulea uovu.
Battle ni muhimu saana wakati w kitafuta amani
Mama anahitaji darasa kidogo ili kwenda vizuri anapokuwa anahojiwa.Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
There is a very huge difference between Assertion (being Assertive) and being plainly arrogant. Mkapa alikuwa assertive, ana hard tone but extremely elaborative. Alijibu maswali, japo kwa ukali maana ndio hulka yake, lakini alijibu. Mama ni arrogant, tone yake ina beba ujumbe mmoja tu; kuwa nishasema utanifanyaje sasa.ulishawah fatilia mahojiano Ya BWM ? Tone yake ?
Nyie watu mnachekesha. Hata Rais angekuwa ni Mbowe, angekataa katiba mpya maana ni kujitia kitanzi kama rais wa mwisho wa USSRNimekuelewa sana huyu maza hataki kitu kinaitwa katiba mpya
Balaa snNyie watu mnachekesha. Hata Rais angekuwa ni Mbowe, angekataa katiba mpya maana ni kujitia kitanzi kama rais wa mwisho wa USSR
Mbona yule jamaa sijui alikuwa na hisia gani aliposema acha mavi yako nyumbani.Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.
Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.
Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.
Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.
Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.
Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Wewe ndio unahangaika na Urais wake,sasa asionyeshe hisia kwani amekuwa Jiwe au gogo kavu?Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.