Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Uwezo wa kukabiliana na maswali nayo ni taaluma, si kila kiongozi anaweza...

Jambo la muhimu ni kuchukua ujumbe uliobebwa katika majibu...
Point. Wengi ya viongozi wa kiafrica wanajiaminisha kuwa wao ni 'untouchable'. Kitendo cha kumuuliza swali anahisi kama unamdhalilisha.
Rejea majibu ya mama, alisahau kabisa kuwa Kikeke pia ni Mtanzania hivyo ana haki ya kuuliza. Kwa wataalam wa body language, wataona straight kuwa mama ana kibri kikubwa sana.
 
Wengi wanashindwa kuelewa kuwa hata tabasamu la raisi tu linabeba ujumbe. Achilia mbali kauli zake. Leo hii raisi amekuwa kama mama mwenye nyumba anaedai kodi yake. Ana majibu ya mkato hata pale panapotakiwa maelezo ya kina.

Magufuli japo alikuwa na mapungufu yake, aliweza kutawala nyoyo za wengi pale alipokuwa kwenye halaiki na kutetea wanyonge. Hata kama ilikuwa ni kiini macho, aliondoka na nyoyo za watu. Lakini huyu mama anadiriki hata kumnyamazisha mwananchi wake maskini ambae ameshakata tamaa na kuona nafasi pekee ni kumvaa raisi halaiki kutoa duku duku lake. Lakini anaambulia kushushuliwa.
 
Mama anahitaji darasa kidogo ili kwenda vizuri anapokuwa anahojiwa.
 
ulishawah fatilia mahojiano Ya BWM ? Tone yake ?
There is a very huge difference between Assertion (being Assertive) and being plainly arrogant. Mkapa alikuwa assertive, ana hard tone but extremely elaborative. Alijibu maswali, japo kwa ukali maana ndio hulka yake, lakini alijibu. Mama ni arrogant, tone yake ina beba ujumbe mmoja tu; kuwa nishasema utanifanyaje sasa.
 
Ww ujawai kua ata kiongozi wa ukoo leo uje umshauri Raisi taasisi yenye watu waliosoma wenye uwelewa wa mambo ya nchi na dunia
Raisi ni tasisi inachoongea na kujibu inakijua
 
Mbona yule jamaa sijui alikuwa na hisia gani aliposema acha mavi yako nyumbani.
Mlimkumbusha au?
 
Wewe ndio unahangaika na Urais wake,sasa asionyeshe hisia kwani amekuwa Jiwe au gogo kavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…