Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Hivi katiba ya sasa (1977) na ile rasimu iliyopitishwa na spika sitta ya 2004 ipi ina afadhali..kwanini UKAWA wasingepokea hata ile kuliko kukosa kabisa..halafu leo wangedai amendments tu baadhi..
 
Ni dhahiri Rais amekomaa kuongea na Press. Nampongeza sana kwa alivyochomoa kuingia kwenye mtego wa ahadi hewa. Naye Kikeke alijipanga kufanya interview ambayo ingemfagilia sana kama Tim Sebastian alivyomhoji Benjamin Mkapa enzi zile za Tim Sebastian.

Ni wazi Rais ameonyesha kuwa yeye ndiye Rais na Kikeke ni Mwandishi tu wa habari.

Big Up Rais SSH
 

Hayo ni malezi na DNA hakuna somo, samaki ukunjwa akiwa mbichi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…