Kuna haja ya Serikali kuzichunguza hizi madrasa

Kuna haja ya Serikali kuzichunguza hizi madrasa

we unaona alichokifanya kizuri?
Wanachokifanya sio kizuri...mambo haya hufanyika pia katika Sunday schools nyingi tu...na kanisa mara nyingi limekuwa likiomba radhi kwa matendo ya ulawiti yanayofanywa na mapadri
 
kuna vitoto vibichi vinakaririshwa Kuimba Kwaya kwny kanisa moja Mtoni kijichi …hao hawaishii saa mbili usiku …la jmosi kuamkia Jpili wanakesha kanisani na wakufunzi wao ni mabaro baro
Haya mambo yapo kote sema kwakua limetokea hili basi neno litasimama.
 
Huu mjadala ungekuwa na faida sana kama wachangiaji watatafakari zaidi ya ''kufungwa akili kwa dini zao''.

Kinachojadiliwa hapa sio ubaya wa dini wala ubaya wa Madrasa, ni upotovu uliokithiri wa baadhi ya walimu wa Madrasa.

Hapa jirani na kwangu kuna Madrasa, watoto wanaingia saa 12 mpaka saa 2 usiku. Nimependa utaratibu ambao wazazi wamejiwekea. Nilimuuliza jirani yangu, yeye ana asili ya Uarabani ( Yeye ni mtanzania mwenye asili ya Oman), kuhusu kwanza umuhimu lakini pia usalama wa watoto kwa muda huo wa usiku haswa kutokana na hivi vitendo. (Tulikuwa tunajadili ulawiti uliofanyika Tabora, miezi michache).

Kwanza alinionyesha umuhimu wa elimu hizo zinazotolewa Madrasa. Hapa nikaona umuhimu wa mafundisho sahihi ya dini kwa watoto.

Lakini akasema wao kwa utaratibu wa wazazi kwanza wanahakikisha kuwa hawana mwalimu mmoja wa Madrasa, wao wana walimu watatu; hapa akasema lengo ni kuwa ukiwa na watu tofauti ni ngumu kukuta wenye akili sawa.
Pia hawa walimu wamepewa miongozo na taratibu za kazi, ikiwemo kukutana na wanafunzi wote kwa wakati mmoja.
Hakuna muda wala jambo la kumkutaniusha mwalimu wa madrasa akiwa peke yake na mwanafunzi. Kama una jambo binafsi na mwanafunzi basi wasiliana na mzazi/wazazi wake.

Jambo la pili, wao wameajiri wadada wawili (Waislam) ambao wanakuwa eneo la Madrasa muda wote masomo yanapotolewa. Hawa kazi yao ni usafi wa madrasa na masualau mengine, lakini pia wana kazi maalumu ya kuhakikisha baada ya masomo, watoto wote wanatoka na kurudi nyumbani.
Maana walimu wengi wa madrasa hutumia sababu za mtoto kuwahi ama kuchelewa kuondoka ili afanye zamu ya usafi.

Labda hawa wameweza kwa sababu ya aina ya watu, wengi wana kipato kizuri na naona pia wamepata elimu dunia hivyo wanatambua umuhimu wa dini lakini pia vichwa vyao vinafikiri sawasawa kuhusu watu na tabia zao.

Ukweli ni kwamba, wazazi lazima tukubali kufikiri zaidi ya mapenzi yetu ya kutetea dini. Dini haina shida lakini watu wenye dini bado wana mambo yao.

Hoja kwamba hata kwenye dini nyingine haya mambo yanatokea, ni hoja dhaifu ya mtu asiye na uwezo wa kufikiri sawasawa, kama huko yanatokea sio tiketi kuwa huku napo yatokee.

Tuokoe kizazi chako, elimu ya dini ni muhimu lakini sio juu ya udhalilishaji wa utu wa watoto wetu.
 
tukichukulia haya mambo ya kulawiti watoto katika DINI tutafeli.
maana hakuna dini ambayo haya mambo hayafanyiki
ila hauwezi kuhukumu uislam au ukristo kwa matendo wa wafuasi wake.
 
wakati sirro anasema wanaweka vijana kuchunguza mienendo ya mafundisho ya dini kwenye madrassa,akaonekana punguani sababu anapambana na ugaidi.lakini faida moja wapo ni kama hii.
Mbona wakati katekista analawiti watoto kule mpanda hamkutoa mawazo haya?
 
Wakristo kitu kikifanywa na waislamu watakashikia bango ila akifanya mkristo kimyaa raisi akiwa Musa wanaanza kelele akiwa mkristo kimyaa wanajiona kila kitu wanastahili wao mbona mbona st peter hilo tukio lilitokea hakuna aliyeshika bango,

mpaka papa mwenyewe kakiri hayo mambo yapo kwenye kanisa lake mnatafuta pakujifichia nikukumbushe tu nchi zote duniani zinazoongoza harakati za ushoga zimempokea yesu nadhani umenielewa yesu ndo anawafundisha hvyo vitu makanisani mfunge ndoa za jinsia moja.
 
mashehe wanapiga staili ya hamza kafia ubalozini
 
Tukubali kuwa haya matatizo yapo tokea miaka mingi iliyopita ila yalikuwa hayazungumziki.

Nahisi na kwa watoto kipaimara au hizo komunio huwa yapo, sema tu yanafumbiwa macho.

Watu hawamwogopi Mungu tena.
 
ni sahihi kabisa

hata Uislam hautaki hayo matendo machafu na adhabu ya ulawiti kwa mujibu wa Uislam ni kifo…ikiipendeza Serikali iridhie hilo

Uislam sio dini ya 'ammendements' na ku compromise sheria zake kwa kisingizio cha 'uhuru binafsi' kama baadhi ya imani zingine zifanyavyo
Dini ya mauaji au sio.

Hakuna aliyemsafi hata huyo anaye ua mwenzie naye anamaovu yake mengi tu..sema hayajabainika kwa jamii.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inawezekana kanisa hilo ni la walokole...maana siku hizi wanakuwa na classes kwa watoto kama nursery schools..
kuna vitoto vibichi vinakaririshwa Kuimba Kwaya kwny kanisa moja Mtoni kijichi …hao hawaishii saa mbili usiku …la jmosi kuamkia Jpili wanakesha kanisani na wakufunzi wao ni mabaro baro
 
Kuna moja imeanzishwa hapa jirani vitoto vibichi vinakaririshwa hapo na kuimba kiarabu mpaka saa mbili usiku na mwalimu wao mwanaume. Soon mrejesho utakuja.

FaizaFoxy
Wafia dini mna kazi Kweli ya kuzitetea dini zenu. Waliowaletea dini kwao kula au kuliwa njia ya choo wanaona kawaida tu

IMG-20220520-WA0010.jpg


IMG-20220520-WA0014.jpg


IMG-20220520-WA0012.jpg


IMG-20220520-WA0011.jpg
 
Unataka kuficha uovu,madrassa zimezidi
Kama watu wanamegwa ndani ya ofisi ya jesu mwenyew huko Vatican, vipi kuhusu makanisa yetu ya vichochoroni? Inafika kipindi mpaka padri mwenyew anahonga ili watu wamzibue!

IMG-20220520-WA0010.jpg


IMG-20220520-WA0014.jpg


IMG-20220520-WA0012.jpg


IMG-20220520-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom