Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza nchi, hasa kuiondoa CCM madarakani kupitia chama chochote hata kipya, aandaliwe na kuweza kuja kuiondoa CCM.

CCM imeongoza nchi kwa zaidi ya miaka 40 lakini imeshindwa hata kuwatua kina mama ndoo za maji mijini kote. Pia imeshindwa kwa kiwango kikubwa katika kupiga vita ufisadi, kuendeleza na kujenga viwanda, kuondoa shida ya ajira, kuboresha huduma za afya na nk.

2025 CCM inaweza ondoka, aandaliwe vizuri tu.
Hiki chama,kwa sanduku la kura,itakuwa ngumu,may be Mungu aingilie kati,heavenly intervention,au nchi ipinduliwe na jeshi,one courage ous enough presidential guard soldiers,wamtie nguvuni Rais kama ioivyotokea Huko Afrika magharibi,au watu waingie msituni,
 
Hahahaaa
 
Uma ukiamua kila kitu kinawezekana@Godbless Lema@mariaspace.Tanzania waoga wengi,hofu imetanda na watu hawana furaha.
Kukiwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi mabadiliko ni simple sana tanzania.Watu wanaandamana mioyoni na mikutano ya hadhara inafanyika mioyoni.
Lets wait and see........
 
Sahihi
 
Mkimweka Lissu basi Mama Samia atashinda kwa 100% tofauti na hii 90% inayotarajiwa. Nashauri muazime mgombea kutoka CCM ili angalau awavushe kwenye uchaguzi. Ongeeni na Ndugai au Mnyeti.
 
Back
Top Bottom