Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Hiki chama,kwa sanduku la kura,itakuwa ngumu,may be Mungu aingilie kati,heavenly intervention,au nchi ipinduliwe na jeshi,one courage ous enough presidential guard soldiers,wamtie nguvuni Rais kama ioivyotokea Huko Afrika magharibi,au watu waingie msituni,
 
Hahahaaa
 
Uma ukiamua kila kitu kinawezekana@Godbless Lema@mariaspace.Tanzania waoga wengi,hofu imetanda na watu hawana furaha.
Kukiwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi mabadiliko ni simple sana tanzania.Watu wanaandamana mioyoni na mikutano ya hadhara inafanyika mioyoni.
Lets wait and see........
 
Sahihi
 
Mkimweka Lissu basi Mama Samia atashinda kwa 100% tofauti na hii 90% inayotarajiwa. Nashauri muazime mgombea kutoka CCM ili angalau awavushe kwenye uchaguzi. Ongeeni na Ndugai au Mnyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…