Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Dah hilo nimejaribu ku gugu sijaona. Maana yake vimeshikana. Ila until Mama agundue kuwa anapotishwa it might be too late. Mama yupo smart kweli na ana nia njema thabiti ila bahati mbaya sana anguko lake ni kama la Joyce Banda wa Malawi. Sijui kwa nini hataki kuelewa?????
Inafikirisha !!
 
NaungaBaada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Naunga mkono hatua hii ila jina la chama linatakiwa liwakilishe utetezi wa rasilimali, watu, haki, umoja na kujitegemea kiuchumi. Lakini pia jina la chama husika linatakiwa liwe ze kutamkika kirahisi na watu wa kawaida hasa wasio na sauti ya kutetewa.

CCM haina tena hata kama wakitumia dola 'This must be the beginning and the end of their era' maana wamejaa uozo wote, visasi na ulafi huku wakiwasingizia wapinzani bure.
 
Hapo umenena vyema
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Napenda wawape usajili afu wajitokeze wazi kiumane 2025 hakuna haja ya kuwasigina sigina.

Wasipoumbuka hawawezi kuelewa.
 
Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP
Hata kikiitwa mafii tutakikubali ila siyo takataka ya ccm
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Chama chochote cha ukombozi huenda msituni ndiyo maana TANU hakikuwa chama cha ukombozi sababu ukombozi wetu ulitokana na mikutano, maandamano na kujitoa kwenda UNO kudai Uhuru.

Unamkomboa nani? Miaka 60 ya Uhuru kama matunda tuliyaona miaka 10 ya mwanzoni wakati viwanda vilijengwa, ajira kaba kaba na rushwa ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Walipoingia wajanja na mafisadi Mwalimu akafikiri hawa ndo wenyewe na akawaweka kando walioifikisha nchi ilipokuwa. Hao ndo mnawaita wakombozi? Mtu kawa katibu sijui mkuu au mwenezi kashindwa kutetea mji wake wa Bukoba ili wapate stend hata ya basi lakini wakawa tayari kuona uwanja wa kimataifa unajengwa Chato na hospitali ya wilaya ya Bukoba inajengwa Karibu na Kanazi kwao ambapo watu waliowengi wapo Izimbya, Katoro, Ibwera ambapo kuna hospitali tayari na kila kitu Wakapiga pesa na Rweikiza.
Hao ndo wapigania uhuru?? Au na Makonda aka Bashite yumo? Muulize aliwezaje kutoka ukondakta wa mabasi akaja kumiliki anavyomiliki.
Twende na mama Kazi iendelee yeye ndo mkombozi wetu katufungua kwenye kifungo cha udikteta.
Jina liko sawa kabisa ndiyo majina ya kizazi kipya.Angalia Kenya kuna Azimio Umoja Alliance, Jubilee Party.Kanyaga twende UP(Umoja Party) chama Bora na Cha kisasa
 
CUF ipi? Ya Lipumba? Mna haraka ya kusahau. Tanzania vyama Ni viwili tu CCM na CHADEMA. Ndio maana CCM abakihujumu Sana Chadema maana ndio tishio kwake.
Chadema hipi,hii iliyo kosa mgombea urais mpaka wakaenda kuazima ccm?kama hamjui Chadema iliangukia hapo,ilipokwenda kuazima mgombea urais wa CCM tena ambaye hajui misingi ya Chadema na kupewa kugombea urais, Chadema wanamsingizia Magufuri bure,kuwa ndiye aliua democrats, wakati wao ndio walianza kikanyaga misingi yao, Chadema imeisha anguka haiwezi kuinuka tena,walisha poteza misingi yao,ila waendelee kukusanya Mia mia mtaani kama wanavyofanya Sasahivi ndio kazi waliobakiza, siasa hawezi tena.
 
Lilikuwa kosa kubwa kipindi kile angesimama Babu walikuwa na nguvu sana
 
Hiki chama inabid kiache kutumia picha ya magufuri ili kipate wafuasi wengi zaidi nje ya sukuma gang,maana wengine tukiona picha ya magufuri ni kama tumeona pe po
 
Mshana Jr tuwachie watoto mijadala ya umoja party. Kwa hakika hakuna chama cha upinzani kwa sasa chenye kuishinda CCM, isipokuwa mnyukano wa kumwaga damu nauona ndani ya CCM, yaani kama alivyokufa Dkt Magufuli ndivyo huo mnyukano utakavyokuwa. Hii imesababishwa na Mwenyekiti mwenyewe Mama kwa kushindwa kujua namna ya kuyakabili makundi hasimu hasa ukizingatia yeye kaja katengeneza maadui wake na kibaya zaidi kaungana na upande ambao uligubikwa na rushwa na ufisadi kiasi kwamba mpaka sasa anaonekana msaliti si kwa vyombo vya ulinzi na usalama bali hata kwa raia wa kawaida. Dkt Kikwete namuita ni Professor wa siasa, yeye 2015 alipoona mtu wake ana mapungufu na pia vyombo vya ulinzi na usalama vikashauri alikubali makundi yote yapoteze na akaibuka Dkt Magufuli. Mama alipaswa atumie hiyo mbinu hakupaswa kuegamia upande ambao CCM iliponea chupu chupu. Sasa ndiyo maana Umoja party haina influence kabisa ila mtifuano upo ndani ya CCM.
Nakubaliana na wewe, Kikwete aliiponya CCM lakini akaleta madhira makubwa kwa Taifa bila yeye kujua.
 
Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP
Wape salaam kwa ufupi tu kwamba anayesajili vyama vya siasa usajili wa kudumu ana riport kila siku kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Chadema hipi,hii iliyo kosa mgombea urais mpaka wakaenda kuazima ccm?kama hamjui Chadema iliangukia hapo,ilipokwenda kuazima mgombea urais wa CCM tena ambaye hajui misingi ya Chadema na kupewa kugombea urais, Chadema wanamsingizia Magufuri bure,kuwa ndiye aliua democrats, wakati wao ndio walianza kikanyaga misingi yao, Chadema imeisha anguka haiwezi kuinuka tena,walisha poteza misingi yao,ila waendelee kukusanya Mia mia mtaani kama wanavyofanya Sasahivi ndio kazi waliobakiza, siasa hawezi tena.
Umenifanya nicheke mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji118]
Una akili kama Jiwe
 
Back
Top Bottom