Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Kadi yangu ya CCM nitabaki nayo ila sitakaa kimya nikiona kuna jambo linalofanyika ndivyo sivyo.
Linalofanyika ndivyo sivyo ndani ya CCM au wapi? Kwani huko ndani ya CCM kuna nini mkuu, joto limezidi?
 
Naona unataja watu ambao mioyoni mwa watanzania wanakubalika kinoma. Pole sana, maana mlivyo wachafu hata kuingia mitaani mnaogopa. Makamba alienda kule Stigler basi akafika akashusha vioo asalimie aisee watu walimkaushia yaani walimuona ni kituko.
Makundi mawili ya CCM haya. Hapa kuna lile la mwendazake na hili la chief Hangaya. Yetu macho.

Cc chinembe
 
Sisi ni watazamaji tu.

Cc Mudawote
CCK enzi zile, ila Mh. Nape ni mnafiki sana, ntu wa ugali, ililipwa ndoga kubhwa na wauzaji ikauza mexhi, sema mtandao wa madawa ukiwasaliti wanakuua, ndiyo maana viongozi wengi wa kibongo wapo compromised hata usemeje kuhusu uadilifu hawatakusikia kwa sababu maisha yao yapo rehani na magenge ya kiharifu hata Mama msemeje probably yupo already compromised ndiyo maana kachagua na kurejesha ngandaaaaassswaa
 
Hiki chama inabid kiache kutumia picha ya magufuri ili kipate wafuasi wengi zaidi nje ya sukuma gang,maana wengine tukiona picha ya magufuri ni kama tumeona pe po
Hili la msingi
 
Naona unataja watu ambao mioyoni mwa watanzania wanakubalika kinoma. Pole sana, maana mlivyo wachafu hata kuingia mitaani mnaogopa. Makamba alienda kule Stigler basi akafika akashusha vioo asalimie aisee watu walimkaushia yaani walimuona ni kitu

"Luwassa" in Kingunge's voice.
Hahahaa
 
Back
Top Bottom