Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Nchi hii ilishakombolewa tangu 1961

Ni kupoteza muda kusema nchi ikombolewe ilihali hakuna wakoloni
 
Pengine sina hakika
Mshana Jr tuwachie watoto mijadala ya umoja party. Kwa hakika hakuna chama cha upinzani kwa sasa chenye kuishinda CCM, isipokuwa mnyukano wa kumwaga damu nauona ndani ya CCM, yaani kama alivyokufa Dkt Magufuli ndivyo huo mnyukano utakavyokuwa. Hii imesababishwa na Mwenyekiti mwenyewe Mama kwa kushindwa kujua namna ya kuyakabili makundi hasimu hasa ukizingatia yeye kaja katengeneza maadui wake na kibaya zaidi kaungana na upande ambao uligubikwa na rushwa na ufisadi kiasi kwamba mpaka sasa anaonekana msaliti si kwa vyombo vya ulinzi na usalama bali hata kwa raia wa kawaida. Dkt Kikwete namuita ni Professor wa siasa, yeye 2015 alipoona mtu wake ana mapungufu na pia vyombo vya ulinzi na usalama vikashauri alikubali makundi yote yapoteze na akaibuka Dkt Magufuli. Mama alipaswa atumie hiyo mbinu hakupaswa kuegamia upande ambao CCM iliponea chupu chupu. Sasa ndiyo maana Umoja party haina influence kabisa ila mtifuano upo ndani ya CCM.
 
Mshana Jr kwa kuongezea hizi habari za CAG unaweza kukuta unaandaliwa mpango wa kumpigia Mama kura ya kutokuwa na imani naye. CCM ni dubwasha, wenyewe tunalijua
 
Kule Upareni kuna usemi unasema SHIGHA VICHIKE..!
Dah hilo nimejaribu ku gugu sijaona. Maana yake vimeshikana. Ila until Mama agundue kuwa anapotishwa it might be too late. Mama yupo smart kweli na ana nia njema thabiti ila bahati mbaya sana anguko lake ni kama la Joyce Banda wa Malawi. Sijui kwa nini hataki kuelewa?????
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Ni wapi naweza kupata kadi ya hiki chama, tafadhali mwenye kujua anipe mwongozo.🤝🤝🤝
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Muiiteje Rwanda National Alliance au? Kama jina lako?😂😂
 
Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP
Kabisa kuna mahali nimeona pic ya mdada na mkaka wamevaa Tshirt zina mpaka pic ya Magufuli............... nikajiuliza sasa huyu marehemu kwenye pic ya chama kipya hapa imekaa je? hili kiitwe Chato Democratic Party limekaa vizuri zaidi
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
UPP- Umoja Political Party!
Ukitamka unasema 'Upipi'
Kidumu UPP!
 
Au kiitwe Chama Cha Umoja na Ukombozi Tanzania .-CUUTA
Chama chochote cha ukombozi huenda msituni ndiyo maana TANU hakikuwa chama cha ukombozi sababu ukombozi wetu ulitokana na mikutano, maandamano na kujitoa kwenda UNO kudai Uhuru.

Unamkomboa nani? Miaka 60 ya Uhuru kama matunda tuliyaona miaka 10 ya mwanzoni wakati viwanda vilijengwa, ajira kaba kaba na rushwa ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Walipoingia wajanja na mafisadi Mwalimu akafikiri hawa ndo wenyewe na akawaweka kando walioifikisha nchi ilipokuwa. Hao ndo mnawaita wakombozi? Mtu kawa katibu sijui mkuu au mwenezi kashindwa kutetea mji wake wa Bukoba ili wapate stend hata ya basi lakini wakawa tayari kuona uwanja wa kimataifa unajengwa Chato na hospitali ya wilaya ya Bukoba inajengwa Karibu na Kanazi kwao ambapo watu waliowengi wapo Izimbya, Katoro, Ibwera ambapo kuna hospitali tayari na kila kitu Wakapiga pesa na Rweikiza.
Hao ndo wapigania uhuru?? Au na Makonda aka Bashite yumo? Muulize aliwezaje kutoka ukondakta wa mabasi akaja kumiliki anavyomiliki.
Twende na mama Kazi iendelee yeye ndo mkombozi wetu katufungua kwenye kifungo cha udikteta.
 
Ni ukombozi wa kiuchumi na kifikra
 
Chato and sukuma alluance party
JamiiForums330662192.jpg
 
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).

Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe.

WanaJf mnaonaje?
Genge la wahuni tu hili
 
Mkuu shetani akitajwa tu napata hasira.
Wakati kila siku unafanya dhambi?

Unamsingizia shetani hapo. Ila unampenda shetani wako hatari. Kila mara unafanya anayoyataka yeye. Uzinzi, Uongo n.k.
 
Ni ukombozi wa kiuchumi na kifikra
Kifikira inakuja baada ya kumbadili mtu kiuchumi. Mwenye njaa atasikiliza lolote toka kwa yule atakayempa hata elfu 5.
Kama kubadili mtu kifikra ingekuwa uchaguzi wa 2020. Mtu mwenye njaa alipoitwa ikulu na kutishiwa nyau akapewea tena na chochote hata kama ni elfu 1 na pakula na kulala mtu hajawahi nusa Dar, wewe unafikiria je. Hapo ulitegemea nini?? Mwenye njaa hafikiri bali anachukua chochote cha karibu. Nyinyi mlioshiba anza kwanza kutotanguliza chakula bali elimu.
 
Back
Top Bottom