Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Inafikirisha !!
 
Naunga mkono hatua hii ila jina la chama linatakiwa liwakilishe utetezi wa rasilimali, watu, haki, umoja na kujitegemea kiuchumi. Lakini pia jina la chama husika linatakiwa liwe ze kutamkika kirahisi na watu wa kawaida hasa wasio na sauti ya kutetewa.

CCM haina tena hata kama wakitumia dola 'This must be the beginning and the end of their era' maana wamejaa uozo wote, visasi na ulafi huku wakiwasingizia wapinzani bure.
 
Hapo umenena vyema
 
Napenda wawape usajili afu wajitokeze wazi kiumane 2025 hakuna haja ya kuwasigina sigina.

Wasipoumbuka hawawezi kuelewa.
 
Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP
Hata kikiitwa mafii tutakikubali ila siyo takataka ya ccm
 
Reactions: RNA
Taifa hili lina vyama zaidi 19 sijaona faida yake bado.
 
Jina liko sawa kabisa ndiyo majina ya kizazi kipya.Angalia Kenya kuna Azimio Umoja Alliance, Jubilee Party.Kanyaga twende UP(Umoja Party) chama Bora na Cha kisasa
 
CUF ipi? Ya Lipumba? Mna haraka ya kusahau. Tanzania vyama Ni viwili tu CCM na CHADEMA. Ndio maana CCM abakihujumu Sana Chadema maana ndio tishio kwake.
Chadema hipi,hii iliyo kosa mgombea urais mpaka wakaenda kuazima ccm?kama hamjui Chadema iliangukia hapo,ilipokwenda kuazima mgombea urais wa CCM tena ambaye hajui misingi ya Chadema na kupewa kugombea urais, Chadema wanamsingizia Magufuri bure,kuwa ndiye aliua democrats, wakati wao ndio walianza kikanyaga misingi yao, Chadema imeisha anguka haiwezi kuinuka tena,walisha poteza misingi yao,ila waendelee kukusanya Mia mia mtaani kama wanavyofanya Sasahivi ndio kazi waliobakiza, siasa hawezi tena.
 
Lilikuwa kosa kubwa kipindi kile angesimama Babu walikuwa na nguvu sana
 
Hiki chama inabid kiache kutumia picha ya magufuri ili kipate wafuasi wengi zaidi nje ya sukuma gang,maana wengine tukiona picha ya magufuri ni kama tumeona pe po
 
Nakubaliana na wewe, Kikwete aliiponya CCM lakini akaleta madhira makubwa kwa Taifa bila yeye kujua.
 
Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP
Wape salaam kwa ufupi tu kwamba anayesajili vyama vya siasa usajili wa kudumu ana riport kila siku kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Umenifanya nicheke mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji118]
Una akili kama Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…