Kuna hawa wamama hutupigia pande wahuni kwa mabinti zao waangaliwe kama tunu kwa taifa hili

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Tajiri hasalimii.

Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja.

Siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"

Siku Ukikutana na Magreth mwenyewe sasa anakwambia "Tajiri mama ameniambia juzi umeniulizia"

Hapo game over hiyo kiongozi.
hawa wamama wabarikiwe sana.

kama nina baya semeni...
Lamomy
 
Tajiri hasalimii.

Kuna hawa wamama wakikuona umezubazubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja.

siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"

siku Ukikutana na binti mwenyewe sasa anakwambia "Tajiri mama ameniambia juzi umeniulizia"

Hapo game over hiyo kiongozi hawa wamama wabarikiwe sana.

kama nina baya semeni...
Lamomy
wamama wa hivyo walikuwepo zamani.

Vijana wa siku hizi wanakosa sana burudani.

Sie tulokulia uswahilini, ukimaliza ile la saba ukachaguliwa nnje ya mkoa basi ukirudi wamama wenye mabinti hukuchongesha na mabinti zao kwa utalaamu huo.

Kuna jamaa yangu mmoja alichongeshewa hadi leo ndie ameoa
 
😂😂😂 sema hapa changamoto ndiyo hiyo tu ukijichanganya kidogo unaleft group la Kataa ndoa.
 
Mkuu, yule jamaa waliona ana future, na walimganda kwelikweli.

Kizuri wamama wa zamani walikua wanajua kuwatafutia mabinti zao wanaume, jamaa now yupo na maisha mazuri na ana cheo fln hapo Vodacom HQ.

Ilifikia hatua manzi akizingua mama mtu anakuja kuomba msamaha

mimi pia nilichongeshewa lakini baada ya form four ile likizo niikaanza uhuni uhuni pale mtaani na milegezo, wamama wakanitema
 
Nilikua na kikosi cha ulinzi kwaajili yao lakini mabinti wangu wameanza kuvunja ungo na mimi nikavunja kikosi changu 😒
 
Na mtoa mada sio kwamba wakikuona umezubaa, no, yaani wakikuona hauna mambo mengi basi mama mtu alikua radhi akuchongeshee kwa binti yake.

Utasikia mkisalimiana anasema "Na Jeni yupo likizo, alikuulizia juzi" Sasa siku upite karibu na kwao mama mtu awe nje utasikia "Jeni huyu hapa teslarati njoo umuone" Sasa hapo aibu kama zote, daaah maisha haya noma sana
 
Hao wapo kanisani sana, ila kwakuwa hamhudhurii ibada mtabisha sana kwamba hawapo!(kwa wakristo)
 
Mkuu, yule jamaa waliona ana future, na walimganda kwelikweli.

Kizuri wamama wa zamani walikua wanajua kuwatafutia mabinti zao wanaume, jamaa now yupo na maisha mazuri na ana cheo fln hapo Vodacom HQ.

Ilifikia hatua manzi akizingua mama mtu anakuja kuomba msamaha

mimi pia nilichongeshewa lakini baada ya form four ile likizo niikaanza uhuni uhuni pale mtaani na milegezo, wamama wakanitema
🤣🤣🤣🤣🤣 lakini si ulishaonja kidogo matunda ya uwepo wao?

Sema wamama bhana yaani wakikukubali kwenye sekta fulani jua imekukubali jamii nzima, yaani watapita kukutangaza wema utadhani unawalipa, pia wakikukataa ni hivyo hivyo.
 
kuna mwenzio kanunua umeme wa 2,ooo,ooo anaomba ushaurii afanyeje?
Ukute nyumba ya kupanga na paa linavujaa
 
Na mtoa mada sio kwamba wakikuona umezubaa, no, yaani wakikuona hauna mambo mengi basi mama mtu alikua radhi akuchongeshee kwa binti yake.

Utasikia mkisalimiana anasema "Na Jeni yupo likizo, alikuulizia juzi" Sasa siku upite karibu na kwao mama mtu awe nje utasikia "Jeni huyu hapa teslarati njoo umuone" Sasa hapo aibu kama zote, daaah maisha haya noma sana
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
🤣🤣🤣🤣🤣 lakini si ulishaonja kidogo matunda ya uwepo wao?

Sema wamama bhana yaani wakikukubali kwenye sekta fulani jua imekukubali jamii nzima, yaani watapita kukutangaza wema utadhani unawalipa, pia wakikukataa ni hivyo hivyo.
Sure.

kikwete aliweza export hii vzr sana. Kpnd kile wamama wa CCM usingewaambia chcht kumhusu
 
Huyo mama mpuuzi anamdalalia mwanae kwa wanaume?!!
Mi mtu akitaka aone rangi zote nipate katoto ka kike ajisogeze kuja kufanya uharibifu aone..!! Aisee ntang’oa vipira vya mtoto wa mtu…!!👿😡
 
Back
Top Bottom