Kuna hawa wamama hutupigia pande wahuni kwa mabinti zao waangaliwe kama tunu kwa taifa hili

Kuna hawa wamama hutupigia pande wahuni kwa mabinti zao waangaliwe kama tunu kwa taifa hili

Huyo mama mpuuzi anamdalalia mwanae kwa wanaume?!!
Mi mtu akitaka aone rangi zote nipate katoto ka kike ajisogeze kuja kufanya uharibifu aone..!! Aisee ntang’oa vipira vya mtoto wa mtu…!!👿😡
Lamomy nakupongeza mno. Kama alivyosema TAJIRI ni kweli wapo kina mama wapuuzi wanaofanya hivyo ila mara nyingi inachangiwa na umaskini. UMASKINI NI FEDHEHA. Kukuta mama mwenye hali nzuri kiuchumi anafanya hivyo huwa ni nadra sana.
 
Huyo mama mpuuzi anamdalalia mwanae kwa wanaume?!!
Mi mtu akitaka aone rangi zote nipate katoto ka kike ajisogeze kuja kufanya uharibifu aone..!! Aisee ntang’oa vipira vya mtoto wa mtu…!!👿😡
🤣🤣🤣 uharibifu vipi! wenzako wanachekecha na kuona huyu umri umesha fika sasa kuliko ang'olewe na wahuni huko bora nikablesi haka kakijana kastaarabu.
 
Tajiri hasalimii.

Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja.

Siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"

Siku Ukikutana na Magreth mwenyewe sasa anakwambia "Tajiri mama ameniambia juzi umeniulizia"

Hapo game over hiyo kiongozi.
hawa wamama wabarikiwe sana.

kama nina baya semeni...
Lamomy
Hauna bayaaa tajiiriiiii

Tajiiriiiii my foot
 
Back
Top Bottom