Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
wamama wa hivyo walikuwepo zamani.Tajiri hasalimii.
Kuna hawa wamama wakikuona umezubazubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja.
siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"
siku Ukikutana na binti mwenyewe sasa anakwambia "Tajiri mama ameniambia juzi umeniulizia"
Hapo game over hiyo kiongozi hawa wamama wabarikiwe sana.
kama nina baya semeni...
Lamomy
😂😂😂 sema hapa changamoto ndiyo hiyo tu ukijichanganya kidogo unaleft group la Kataa ndoa.wamama wa hivyo walikuwepo zamani.
Vijana wa siku hizi wanakosa sana burudani.
Sie tulokulia uswahilini, ukimaliza ile la saba ukachaguliwa nnje ya mkoa basi ukirudi wamama wenye mabinti hukuchongesha na mabinti zao kwa utalaamu huo.
Kuna jamaa yangu mmoja alichongeshewa hadi leo ndie ameoa
Mkuu, yule jamaa waliona ana future, na walimganda kwelikweli.😂😂😂 sema hapa changamoto ndiyo hiyo tu ukijichanganya kidogo unaleft group la Kataa ndoa.
🤣🤣🤣🤣🤣 lakini si ulishaonja kidogo matunda ya uwepo wao?Mkuu, yule jamaa waliona ana future, na walimganda kwelikweli.
Kizuri wamama wa zamani walikua wanajua kuwatafutia mabinti zao wanaume, jamaa now yupo na maisha mazuri na ana cheo fln hapo Vodacom HQ.
Ilifikia hatua manzi akizingua mama mtu anakuja kuomba msamaha
mimi pia nilichongeshewa lakini baada ya form four ile likizo niikaanza uhuni uhuni pale mtaani na milegezo, wamama wakanitema
Karibuni mikoni ndugu zetu mufaidi mazuri ya nchi yetu😋😋Hao wamama sidhani kama wapo Daslama hii😃
Sema sijakupata hapa kiongozi.Nilikua na kikosi cha ulinzi kwaajili yao lakini mabinti wangu wameanza kuvunja ungo na mimi nikavunja kikosi changu 😒
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Na mtoa mada sio kwamba wakikuona umezubaa, no, yaani wakikuona hauna mambo mengi basi mama mtu alikua radhi akuchongeshee kwa binti yake.
Utasikia mkisalimiana anasema "Na Jeni yupo likizo, alikuulizia juzi" Sasa siku upite karibu na kwao mama mtu awe nje utasikia "Jeni huyu hapa teslarati njoo umuone" Sasa hapo aibu kama zote, daaah maisha haya noma sana
😆Kwahiyo umemshauri vipi mkuu?kuna mwenzio kanunua umeme wa 2,ooo,ooo anaomba ushaurii afanyeje?
Ukute nyumba ya kupanga na paa linavujaa
Sure.🤣🤣🤣🤣🤣 lakini si ulishaonja kidogo matunda ya uwepo wao?
Sema wamama bhana yaani wakikukubali kwenye sekta fulani jua imekukubali jamii nzima, yaani watapita kukutangaza wema utadhani unawalipa, pia wakikukataa ni hivyo hivyo.
😂😂😂Sure.
kikwete aliweza export hii vzr sana. Kpnd kile wamama wa CCM usingewaambia chcht kumhusu
Umalaya ni nini mkuu?Acheni umalaya vijana, mnaharibu hatma zenu
Mfunze mwanao njia impasayo, nae hatoiacha mpaka atakapokua mzeeSema sijakupata hapa kiongozi.