Kuna hii concept kuwa MTU mwenye kichwa kidogo anakuwa na IQ ndogo..!?

Kuna hii concept kuwa MTU mwenye kichwa kidogo anakuwa na IQ ndogo..!?

Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo

Au ana poor cognitive ability.

Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability...

Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
Ila ujue ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi.
 
Back
Top Bottom