KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi 24 wakishindwana mwanamke anataka mali ziuzw apate mgao wake! Je hii nisawa??Mali nimechuma mwenyewe ila unataka tugawane hii inakuingia akilini??Wajuvi wa mambo njooni mtoe somo!