Acha fikra za kikoloni ndoa ni za wazungu kuna kitabu chochote cha dini kina sema kuishi na mwanamke ni lazima mkabarikiwe msikitini au kanisani??Kwanini uishi nae pasipo ndoa?
Kwanini umfukuze baada ya mikunjo yote na kufanyiwa kazi zote humo ndani?
Anyways,watimueni tu na kilakitu hakiwahusu humo ndani maana nao hawajielewi
Ndoa ni mpaka kanisani na msikitini tu?Acha fikra za kikoloni ndoa ni za wazungu kuna kitabu chochote cha dini kina sema kuishi na mwanamke ni lazima mkabarikiwe msikitini au kanisani??
Sidhani kama tunajua tunachokitaka....kama wanaume tuNadhani hilo swali lako ungewauliza akina dada wakupe majibu kamili, nini haswa huwa wanahitaji? Maana hakuna mwanaume hata mmoja mpaka sasa ambaye ameweza kujua hitaji lao kubwa ni lipi.