Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli.
Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000.
Na Mtwara Lindi nauli ni 4,000 kwa Sasa wanataka waongeze hadi kufikia 10,000.
Chanzo ni NIPASHE
View attachment 2145475
Madhara ya hotuba za kukurupuka.Hivi Mama si alisema kila kitu kitapanda bei?
Masasi mtwara waweke hata 8000 maana distance ni kama dar Moro panachana kidogo sana!