Kuna hii taarifa ya mgomo wa mabasi Mtwara – Masasi, Mtwara – Lindi

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli.

Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000.

Na Mtwara Lindi nauli ni 4,000 kwa Sasa wanataka waongeze hadi kufikia 10,000.

Chanzo ni NIPASHE

NIPA.jpg
 
View attachment 2145475

Hivi Mama si alisema kila kitu kitapanda bei?
 
Wapandishe tu, hakuna haja ya mgomo hapa ni suala la kuamka asubuhi na kukata tiketi kwa nauli yako mpya kama unavyokwenda sheli na kukutana na bei mpya.
 
Mtwara lindi wanataja elf 10?!!wamerogwa hao wagome tuuu!!!mwwe 83km..??
 
Hata sijaona jipya mama kashasema kwahiyo ikifika hata 55000 ni poa sana tena ntafulai alaa
 
Back
Top Bottom