Pre GE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili linadhihirisha kwamba viongozi wa CCM hawako kwA ajili ya kutatua matatizo ya wananchi bali akili na mawazo yao yote ni katika kubaki madarakani ili kuendeleza na kuulinda ufisadi wao.

Kuna tuhuma nyingi za ufisadi wa kutisha, mawaziri na viongozi wanamiliki mali za mabilioni bila maelezo ya jinsi walivyozipata. Wanafanya manunuzi na Matanuzi ya kutisha nk. Tunahitaji Nyerere mpya wa kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa majambazi yanayojiita wazalendo wa ccm
 
We fala kweli. Nani kakwambia Samia hakubaliki kwa wapiga kura. Nenda huko kwa wakulima umzungumzie Samia vibaya uone kama hupigwi mawi. Jpm aliua kilimo kabisa hasa Niko yenye kulima korosho na mbaazi akabaki anatumia jeshi kuwatisha tu. Njoo kwa wafanyabiashara sisi uone jinsi ambavyo ukimsema vibaya Samia tunavyokukata shingo. Biashara jpm aliua kabisa mfano big hotels kama Ngurdoto nk.
 
Nenda kwa wakulima wa korosho uone namna rais wa mioyo ya wakulima alivyopambana kushusha bei ya korosho kwa ushindi mkubwa.


Usitake kuleta mbambamba. Ninalima najua namna ambavyo wakulima wanavyoilaani serikali kwa upuuzi mwingi inayowafanyia.

Mpaka leo serikali inadhibiti kilimo ili kupanga bei na soko la mazao. Uhuru hauna maana hapo
 
Mi Niko huku Mtwara nalima korosho najua nachosema. Jpm kila mtu anamlaani hapa. Alishusha bei korosho ikamwagwa baharini kwa kukosa wanaunuzi. Jeshi wakabaki wanawapiga ovyo ovyo wakulima waliokataa kuitoa
 
Mi Niko huku Mtwara nalima korosho najua nachosema. Jpm kila mtu anamlaani hapa. Alishusha bei korosho ikamwagwa baharini kwa kukosa wanaunuzi. Jeshi wakabaki wanawapiga ovyo ovyo wakulima waliokataa kuitoa
JPM alikuwa CHADEMA kwani?
Msimfananishe chaudele na jiwe. Hajafika hata nusu yake kiutendaji.

Tumerudi nyuma miaka 50 kupitia Hangaya. Pia elewa kuwa CCM ndo taabu, hata aje malaika hatoweza kuiweka sawa.

Tunaipiga chini
 
JPM alikuwa CHADEMA kwani?
Msimfananishe chaudele na jiwe. Hajafika hata nusu yake kiutendaji.

Tumerudi nyuma miaka 50 kupitia Hangaya. Pia elewa kuwa CCM ndo taabu, hata aje malaika hatoweza kuiweka sawa.

Tunaipiga chini

JPM alikuwa CHADEMA kwani?
Msimfananishe chaudele na jiwe. Hajafika hata nusu yake kiutendaji.

Tumerudi nyuma miaka 50 kupitia Hangaya. Pia elewa kuwa CCM ndo taabu, hata aje malaika hatoweza kuiweka sawa.

Tunaipiga chini
Jpm hakustahili kabisa kuwa rais kila sehemu ilikuwa vilio. Wafanyabiashara, wakulima, ajira,. Sana sana waliofurahio uongozi wa jpm ni wale wavivu wanaoamini umaskini wao umesababishwa na utajiri wa mtu anayejishughulisha. Na Tanzania maskini ni wengi mana hawafanywi kazi wanategemea miujiza ya mwamposa ndo mana TB Joshua alikuwa anawafi.ra
 

CCM hawajiamini ni waoga sana. Wataendelea kuwawekea vikwazo wasisajiliwe.
 
Namba 2 ni dhahiri !
Lakini mimi naamini vyovyote iwavyo hivi ndivyo itakavyokuwa “ Nguvu ya Mamba iko kwenye maji “
Japo wanaweza kum underrate lakini incumbent ana watu wake waliomzunguka ! Hawatakubali fursa hizo ziote mbawa !

Ngoja tuone !
 
mimi nilidhani kuna mwanya ambao hauzibiki🐒

kumbe ni mpasuko au nyufa, kitu ambacho ni cha kawaida na kinarekebishika na kuzibika...

Na actually hiyo ni afya ya siasa ndani ya vyama ikimaanisha kuna intelligent and more capable individuals within the party to take over the game.
Na so, hakuna kulala wala kuzubaa ni kazi, kazi, kazi na bidii na ubunifu kwendra mbele .....

Suala la kuimega CCM hiyo ni ndoto ya kimweri...
Atakae toka CCM mathalani sasa ivi, atatoka yeye binafsi, pekeyake na mwenyewe tu na haitakua na madhara bali afya na umakini zaid ndani ya chama chenyewe 🐒
 
Asante kwa bandiko zuri sana. Binafsi nayaona mambo mawili:
1. Chongolo alitaka awepo mshindani wa Samia. Nchimbi anasafisha hali ya hewa iliyochafuliwa na Chongolo.
2. Kimsingi hakuna kitu kinaitwa awamu ya Sita hivyo Samia ni mtawala wa kukamilisha awamu ya Tano kwa mujibu wa katiba!! Wanakwenda kutumia hii kimgeuka, na tena atakayeongoza hilo ni Nchimbi!
3. Mgombea halisi wa awamu ya Sita ameshaandaliwa na kundi lile la Pwani ya Bagamoyo. Nipo pale
 
Maneno mazito sana !!
Jamaa wa pwani amekataa kustaafu !??
Ngoja Tusubiri tuone !!
Hii ngoma ni nzito sana !
Nakumbuka ukinizingua Tutazinguana !

Nguvu ya Mamba kumayi !
Mwenyekiti ni mtu mkubwa sana Chamani na pia ana jopo lake !
It remains to be seen !
Bado naamini nguvu ya Mamba kumayi 😅😅🙏🙏
 
Hauwezi kuwapa Chadema nafuu yeyote maana ccm Wana uzoefu wa michakato huu ya maoni tofauti.

Ukiona chama kimejaa watu wa ndio Mzee ujue hapo kumejaa mbumbumbu
 
Mkuu

SSH hakubaliki Tanzania bara labda wafanyabiashara na viongozi wanufaika wa utawala uliopo unaojilipa mali za umma kwa fujo bila hofu ya kuwajibishwa.

Mpasuko upo tena ni mkubwa kutokana na kauli za viongozi wanaokwea madarka kwa sasa kumsimanga mfu kwamba alikuwa anapenda sifa kwa kazi anazozifanya kuliko huyo eti anaenda kimya kimya!!!! Serious?

Rais ya Jamhuri hakauki Zanzibar anafanya ziara lukuki wakati JPM hakuwahi kufanya ziara za kiwango hicho huko wakatu kuna rais wake.

Zanzibar inanawirishwa kwa nguvu za Tanganyika


Kadri siku zinavyokaribia za uchaguzi utashuhudia mpasuko tena usio wa kawaida. Kiujumla CCM hawatakiwi tena kuongoza serikali hata CDM haiaminiki tena sijui utatokea muujiza gani kupindua meza!!!!
 
CCM inatumiwa na dola kutawala nchi. Nilidhani CCM inaitumia dola
Mkuu Msanii, kumbe wewe hujui the political dynamics za siasa zetu kwa kufikiri CCM ni chama tuu cha siasa, kinatumiwa na dola kutawala nchi. Hivyo ulidhani CCM inaitumia dola!, ukweli ni kuwa CCM sio chama tuu cha siasa, CCM ni chama dola, CCM ni dola!, na huu uchama dola usipobadilishwa na katiba mpya, CCM kuendelea kuitawala Tanzania milele!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

P.
 
Usijidanganye, wananchi wanamwona huyo mama ni mkosi kwa inchi, anapelekeshwa na mafisadi, na Hana kauli hata ya kukemea yupo yupo tuu. ila uzuri wake Mungu amemkataa, hata wafanye nini huyo siyo Raisi tena.
 
Usijidanganye, wananchi wanamwona huyo mama ni mkosi kwa inchi, anapelekeshwa na mafisadi, na Hana kauli hata ya kukemea yupo yupo tuu. ila uzuri wake Mungu amemkataa, hata wafanye nini huyo siyo Raisi tena.
Rais siyo mahakama. Mahakama ndo inakemea. Mama anaongoza kwa utawala Bora wa sheria kinyume chake ni udictator. Shida mlizoea dictator maguli ambaye yeye mwenyewe alikuwa mahakama, bunge na serikali kiasi ambacho majaji walikuwa wanapigiwa Simu kwamba nani afungwe nani atolewe. Mama hayuko hivyo anamuamini mungu sana
 
Kipara anahama "pasenja seet" aruke hend brek, automatik gia na kukaa siti ya "dere"..anaona mda ni mchache...anashinikizwa na "konda" wao anaeelekeza vituo vya kupanda na kushuka, si mnajua alikuaga "dere" hapo kabla? anaona anachelewa kukusanya maokoto yake aliyoyaacha kipindi ameacha "udere" na kurudisha gari kwa wenye gari lao kibabe akijua alikua anamkomoa "utingo" wake wa zamani kumbe alijikatia mirija...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…