Mkuu
mbussi , generalisation is for the general issues, and specific issues ndio ninakuwa specific, mtoa mada ametoa general issue ya CCM ina mpasuko, jibu ni general CCM hakuna mpasuko wowote!. Akaja kwenye specific issue ya Samia hakubaliki, nikamjibu anakubalika!.
This is true Tanzania haijawahi kutokea tangu tunapata uhuru, siku zote VP ni standby president in case of anything happens to the president, sasa kwa vile nothing happened to all past presidents, watu tukazoea president is president na VP is VP, we no one expected this would happen!.
Sii kweli kwasababu alichakuliwa kuwa running mate wa JPM, hizo ni baraka za chama, na kila kura kura iliyomchagua JPM, pia ilimchagua Samia!.
Hakuna fukuoka lolote kwasababu utaratibu wa CCM unafahamika.
Sii kweli
Japo sikubaliani na wewe, lakini naheshimu mawazo yako.
P