Pre GE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utamaduni wa CCM ni Rais kutoka CCM kuhudumu vipindi viwili. Period!
 
😁😁
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1748762594402254860?t=R16fERUFE2l5n5PC1CFzww&s=19
 
Mimi ni CCM na sipendi mila na tamaduni potofu.

Kwa hiyo ni utamaduni wetu kuiba kura za chaguzi kuu kiasi kwamba tumehalalisha kuwa sheria?
Basi kwa taarifa yako, HUWEZI kiubadilisha utamaduni wa CCM kupitia JF. Kama ni jasiri nenda kwenye vikao halali vya CCM ukaongelee huko. Kama Makamu Mwenyekiti kasema, Katibu Mkuu kasema na Wana CCM kindakindaki tunakubaliana nalo; bro we HAMIA Chadema tu. Mgombea Urais wetu CCM ni SAMIA SULUHU HASSAN tu!
 
Si mmeshika bunduki kulinda tamaduni haram.

Sijitokezi
 
Si mmeshika bunduki kulinda tamaduni haram.

Sijitokezi
Hata Democrats ya Marekani Wana utamaduni huo ndio maana Joe Biden hakushindanishwa na mtu mwingine ndani ya chama chake. Vyama vyenye busara na hekima vinaamua kwa busara na hekima sio kwa mihemuko.
 
Pale fisi anapotaraji mkono udondoke.Jengeni chama chenu kiwe imara acheni ndoto za Ali Nacha za kutegemea ITAKUWA hivi.....Kuweni serious hamuwezi kushinda kwa mihemuko ya kwenye keyboard.
 
Hata Democrats ya Marekani Wana utamaduni huo ndio maana Joe Biden hakushindanishwa na mtu mwingine ndani ya chama chake. Vyama vyenye busara na hekima vinaamua kwa busara na hekima sio kwa mihemuko.
Hahahaha hahaha
Mbona Marekani wana demokrasia ya kuwa na tumehuru ya uchaguzi na hata uhuru wa maoni?

Mmeona kwenye ugombea tu?
 
Hahahaha hahaha
Mbona Marekani wana demokrasia ya kuwa na tumehuru ya uchaguzi na hata uhuru wa maoni?

Mmeona kwenye ugombea tu?
Na bado Trump alidai kaibiwa kura?Ni lazima kuwe na utamaduni wa kukubali kushindwa.UKAWA waliposhinda viti vingi sana vya ubunge na kufanya vizuri sana kwenye Urais kulikuwa na tume ya namna gani?
Mkishinda hamna kelele za tume mkishindwa ohh tume sio huru.
Jengeni Chama chenu huwezi kupanda mbigili ukategemea kuvuna mahindi.Chama kisicho na grassroot members hakiwezi kushinda uchaguzi kitaifa.
Vyama vya upinzani havina uwezo wa kushinda uchaguzi wa Rais.
 
Kunawazee wamepigwa benchi kiukweli hawajaridhika maana sa100 anataka mawaziri vijana wakumwimba mama,mama,mama kilasaa Sasa kina kabodi,ndogai,lukovi et al sidhani wameridhika kuwekwa benchi tena namdada toka nchi ileee.
Kavipi chama kibasti tuu hivi vitoto vikina silaa,makondi,bitanko et al hawajielewi kuongoza nchi niuongo
 
Jifunze hata kuandika ili ueleweke unataka kufikisha ujumbe gani..Mwalimu wako alipata tabu sana.Ulikimbia umande?Hawa viongozi waliopita ndio kina nani?Kwa sababu kwa majina uliyoandika hakuna aliyewahi kuongoza kwenye Nchi.
Kabodi,Ndogai ndio kina nani?
 
Tui lanazi usipoelewa ujue level Yako yaakili nindogo sana nenda tuition. Babazako tukijadili mambo ya nchi Kwa codes ninyi vichawa vichwamaji tulieni kidogo
 
Na tangu Maza aliposema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ni ufisadi wa kukufuru!
 
Shikeni hii kauli toka kwangu.

Ccm inatumiwa na dola kutawala nchi.tuliishi kuzoea ccm kutumia dola kutawala.

Zaman wana ccm wenye kuhoji na wenye misimamo walipewa madaraka na heshima .

Leo wazalendo kama olemushi .mh mpina wanakiona cha moto maana kinachotawala ni kikundi cha msoga na magu sio tena ccm.
Ukioendwa na msoga huna haja ya kushika viapo vya mwanaccm ww mtetee rais hata kwa ujinga .kanunue dubai apartment usijali kigwangwala dawa yake inachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…