Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili
Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa kwani ndizo zitakazo nani anakutana na nani
hatua inayofuata
Pamoja na kuwa wote tumeshafuzu,ila ni kwanini hizi mechi zimewekwa muda tofauti!?
Yanga saa kumi jioni wakati Monastir yeye saa tano usiku,why!?
Kuna mwana Simba makini aliniukiza hili swali na miye nawauliza Wana sports forums CAF na Monastir Wana hofia nini mpaka kutenganisha muda hizi timu kucheza!?
Asante sana mkuu Rogers luyangi